Simba leo hapati goli lolote sahau kuhusu ushindi

Christopher Wallace

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2015
Posts
1,479
Reaction score
3,788
Kutokana na siku ya leo, tarehe na muda wa mechi, basi nyota za mchezo zinasema Simba hawatopata hata goli moja, huku nyota zikisema Yanga atapata walau magoli mawili.

Kwa minajili hii, nachelea kusema kwamba mashabiki wa Simba msiende uwanjani kwa wingi, maana hamtoamini kitakachowakumba. Ubingwa chukueni lakini kutufunga msahau.

Halafu hulazimishwi kuamini, ila narudia tena Simba HAPATI GOLI HATA MOJA.
 
Nimeona kabisa Simba ikikojozwa kimoja
 
Utopolo Renzo/generalist/Al-rounder/gentamycine kaibuka kwa jina la Renzo. Huyu jamaa ni utopolo damu damu. Ila ajiandae kwa maumivu!
 
IMG_8472.jpg
 
Back
Top Bottom