Mayunga234
JF-Expert Member
- Feb 17, 2017
- 1,725
- 1,995
Simba leo mtafungwa mbili bila na Wacongo
Mnajimwambafai sana ila leo mtanyooshwa na Wacongo
Mnajimwambafai sana ila leo mtanyooshwa na Wacongo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We jamaa unaaibisha wasukuma wenzakoSimba leo mtafungwa mbili bila na Wacongo
Mnajimwambafai sana ila leo mtanyooshwa na Wacongo
Unekula lakini?Mi mwenyewe nawaombea hawa dala wafungwe maana they talk too much
Hamtafika mbali ni swala la muda tu mtarudi ligi kuuUnekula lakini?
You sound too desperate
This is Simba!
Acha uchuro Mayung aSimba leo mtafungwa mbili bila na Wacongo
Mnajimwambafai sana ila leo mtanyooshwa na Wacongo
We jamaa unaaibisha wasukuma wenzako
Mna mechi kule nigeria, hebu iongelee hiyo
Hiyo sio ishu kwa leo. Yanga akitoa sare na Simba akifungwa mbili leo, Yanga anatolewa na Simba hatolewi! 😀😀😀Simba leo mtafungwa mbili bila na Wacongo
Mnajimwambafai sana ila leo mtanyooshwa na Wacongo
Hiyo sio ishu kwa leo. Yanga akitoa sare na Simba akifungwa mbili leo, Yanga anatolewa na Simba hatolewi! 😀😀😀
Hiyo sio ishu kwa leo. Yanga akitoa sare na Simba akifungwa mbili leo, Yanga anatolewa na Simba hatolewi! 😀😀😀
Simba leo mtafungwa mbili bila na Wacongo
Mnajimwambafai sana ila leo mtanyooshwa na Wacongo
Ndio nilichosema tangu awali, kwamba Simba hata akifungwa mbili, hatatolewa kwenye mashindano ya kimataifa, ila Yanga hata akitoa sare, anatolewa kimataifa! Sasa kwani Yanga amesonga mbele kama Simba, Azam na Biashara?Mnaona sasa mmetoka Kapa
Mumewazawadia Rivers United kisamvu cha kopoSimba leo mtafungwa mbili bila na Wacongo
Mnajimwambafai sana ila leo mtanyooshwa na Wacongo