SIMBA leo Lazima Mfungwe Mbili Bila

SIMBA leo Lazima Mfungwe Mbili Bila

Mayunga234

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2017
Posts
1,725
Reaction score
1,995
Simba leo mtafungwa mbili bila na Wacongo
Mnajimwambafai sana ila leo mtanyooshwa na Wacongo
 
Mi mwenyewe nawaombea hawa dala wafungwe maana they talk too much
 
vp mkubwa..

mbona km umevurugwa??

tozo hujazizoea tu??
 
Simba leo mtafungwa mbili bila na Wacongo
Mnajimwambafai sana ila leo mtanyooshwa na Wacongo
Hiyo sio ishu kwa leo. Yanga akitoa sare na Simba akifungwa mbili leo, Yanga anatolewa na Simba hatolewi! 😀😀😀
 
Mnaona sasa mmetoka Kapa
Ndio nilichosema tangu awali, kwamba Simba hata akifungwa mbili, hatatolewa kwenye mashindano ya kimataifa, ila Yanga hata akitoa sare, anatolewa kimataifa! Sasa kwani Yanga amesonga mbele kama Simba, Azam na Biashara?
 
Back
Top Bottom