nzagambadume
JF-Expert Member
- Apr 9, 2018
- 2,430
- 5,779
ili awe mwana simba anatakiwa aweje? Au kwakusema kwake ukweli kunamuondolea sifa ya kuwa mwanasimba? Kwa staili hiyo bora Simba na Yanga zife tu ndipo soka letu lipige hatua.Wewe sio mwanasimba OVA
tafuta threads zangu utaona mimi ni shabiki wa simba,hatukuhitaji penalty ile ya kijinga ku win game ile, tulikuwa na uwezo wa kufunga 3 clean goals kabisaWewe sio mwanasimba OVA
Mzee ni klabu gani inamafanikio kwenye soka la bongo kama hiyo.ili awe mwana simba anatakiwa aweje? Au kwakusema kwake ukweli kunamuondolea sifa ya kuwa mwanasimba? Kwa staili hiyo bora Simba na Yanga zife tu ndipo soka letu lipige hatua.
Sikatai ila wana Simba hatuna mawazo kama yako jinasibu kama mwana Tasaf fc ieleweketafuta threads zangu utaona mimi ni shabiki wa simba,hatukuhitaji penalty ile ya kijinga ku win game ile, tulikuwa na uwezo wa kufunga 3 clean goals kabisa
ule ujinga wako wa ubishani wa kina Ray vanny naona umeuleta huku?mechi umeangalia kweli au aunadhani huu ni ubishani wa ali kiba na diamond?Mzee ni klabu gani inamafanikio kwenye soka la bongo kama hiyo.
Basi tuseme msimu ujao tupeleke Azam na KMC kwenye mashindano ya CAF uone wapi tutaishia.
Mwana Simba hawezi kuitakia mabaya klabu yake, mwana simba hutaka mafanikio tu huyu ni Mbute
Mimi si mjinga nitake radhi naweza kuchafua hali ya hewa na usiamini.ule ujinga wako wa ubishani wa kina Ray vanny naona umeuleta huku?mechi umeangalia kweli au aunadhani huu ni ubishani wa ali kiba na diamond?
huyo ni chura mwenzio, hajawahi kuwa shabiki wa simba abadani!Mpo wachache sana mikia mnaojielewa
Endeleeni kulialia. Zahera kagomewa kule
mi mwenyewe ni simba damu ila kiuchambuzi madogo walitubana sanaJamani ile penalty ya pili hapana aiseee,hata sijashangilia,najua wachezaji wanachoka kwa ratiba iliyobanana ila waongeze umakini kwenye chances wana zo create,maana kama kipindi cha kwanza walipoteza chances nyingi sana
Tushukuru tu refa kwa ile controversial penalty ya pili.
ukisema unaambiwa ni TASAF,penalty ya kwanza sawa ila ya pili hapana aisee ni ball to hand na siyo kwamba kuna movement iliyozuiwa ni beki aliokoa ukagonga mwenzake,vipi ile ya nyoni dakika ya mwisho kurudisha nyuma refa akasema ni offside kwa kmc?mi mwenyewe ni simba damu ila kiuchambuzi madogo walitubana sana
Swala sio kulazimisha timu iende kilazima kwavile tu ndio ina mwelekeo bali timu iende kwa kuonesha uwezo wake halali. Hata KMC au Biashara united wakiwa na uwezo wa kuchukua kombe la ligi waende tu wakawakilishe nchi kimataifa hata wakifungwa magoli 20+ ni sawa tu kwasababu watakuwa ndio timu bora kuliko zingine kwa Tz na ndio maana wakachukua kombe. Sio kulazimisha timu ikawakishe timu hata kwa kubebwaMzee ni klabu gani inamafanikio kwenye soka la bongo kama hiyo.
Basi tuseme msimu ujao tupeleke Azam na KMC kwenye mashindano ya CAF uone wapi tutaishia.
Mwana Simba hawezi kuitakia mabaya klabu yake, mwana simba hutaka mafanikio tu huyu ni Mbute
Penati ilikuwa sahihi kivipi? Embu tupe ufafanuzi kwanini unaona ni sahihi?tatizo la Azam Tv huwa hawaonyeshi vitu kwa slow motion ile penati ilikuwa sahihi sema wachezaji wengi wa simba kiwango ni kibovu kuanzia kapteni wao Boko, Mkude, Zaha na Mpilipili wameonyesha kiwango kibovu sana
Yanga mnateseka sana kwa nini lakini? Au kwa vile mlibebwa sana kipindi cha malinzi miaka minne hamkuweza kufikia ilipo simba? Roho zinawaumaaa subrini dawa iwakolee kwanza. Sa hivi tunaifata nafas yetu ya kuongoza tulieni ivo ivo kama mnanyolewa. ShubamitiiiSwala sio kulazimisha timu iende kilazima kwavile tu ndio ina mwelekeo bali timu iende kwa kuonesha uwezo wake halali. Hata KMC au Biashara united wakiwa na uwezo wa kuchukua kombe la ligi waende tu wakawakilishe nchi kimataifa hata wakifungwa magoli 20+ ni sawa tu kwasababu watakuwa ndio timu bora kuliko zingine kwa Tz na ndio maana wakachukua kombe. Sio kulazimisha timu ikawakishe timu hata kwa kubebwa