Simba leo tumebebwa penati ,duh

Simba leo tumebebwa penati ,duh

Jamani ile penalty ya pili hapana aiseee,hata sijashangilia,najua wachezaji wanachoka kwa ratiba iliyobanana ila waongeze umakini kwenye chances wana zo create,maana kama kipindi cha kwanza walipoteza chances nyingi sana
Tushukuru tu refa kwa ile controversial penalty ya pili.

Ile penati ina utata... Lakini ukiifatilia ni penati halali..... Azam jifunzeni slow motion jamani
 
tafuta threads zangu utaona mimi ni shabiki wa simba,hatukuhitaji penalty ile ya kijinga ku win game ile, tulikuwa na uwezo wa kufunga 3 clean goals kabisa

Lakini ujue siku nyingine bahati inakuwa haiko upande wetu majaribio ya boko yalikuwa mazuri sana ni bahati mbaya tu aliwakosa penati ya kagere nayo ni bahati mbaya tu
 
Sasa sheria ya kushika haisemi kushika ni pale tu mpira unapoelekea langoni kwako.
ndo mana ukishika mpira hata katikati ya uwanja ni adhabu ya freekick.
Ko haijalishi mpira umeshika mpira wakt unaelekea kwako au kwa adui
Kwa wewe ulivyoona mkono ulifuata mpira kwa lengo kuuzuia au mpira ndio uliofuta mkono (kumgonga)?
 
Kwahiyo Tff kuwaondoa marefa waliochezesha mechi ya simba wamekosea kwa wale wanaopinga simba kubebwa.
Hawajaondolewa kwa kuibeba simba wameondolewa kwa kuchezesha vibaya mchezo kati ya KMC dhidi ya Simba Sc
 
Back
Top Bottom