Simba leo tumebebwa penati ,duh

Hivi haya mmbo ndo yameanza kwa simba tu au
 
Mechi ya round ya kwnz ya simba na yanga vip okwi alifunga goli lkaktaliwa mbona hamkualalmka au kw vile ilitokea kwenu ndo afadhari kina tambwe wamefunga kw mikono hamsem au kw vile n simba so lazm mlalamke kila sku tukianza kuelezea yenu ttakesha hapa
Haya ni matumizi mabaya ya ubongo. Kuna vitu vya kushabikia ila sio huu upuuzi unaofanywa na marefa. Kushabikia hizo mambo ni sawa na kubariki kuua soka letu.
 
tafuta threads zangu utaona mimi ni shabiki wa simba,hatukuhitaji penalty ile ya kijinga ku win game ile, tulikuwa na uwezo wa kufunga 3 clean goals kabisa
Kwahyo kisa tumekosa clean goals mwamuzi hata akijiridhisha ni penati asiweke?Haijalishi uwe unaongoza ama upo nyuma ikiwa penalt na iwekwe penalt
 
Wewe huwezi kua Mshabiki wa Simba. Washabiki ni hao wanaopongeza upuuzi. Wewe ni mpenzi wa Simba!!! Nakunaliana nawe, Team ina wachezaji kiwango cha CAF. Inabidi tucheze mpira wa level hiyo kama tunahitaji kufika mbali. Ile penalti ya pili ni kweli sio kwa Mnyama aliyefika kwenye Club 8 bora Africa. We are better than that!!. Kama tunataka kupongeza juhudi pongezeni. Ila hiyo sio health kwa Club kama Simba. Lazima team yetu ionyeshe tofauti
 
Unakua mbea mtoto wa kiume ni aibu. Leteni video ya hiyo penalty ya pili tuone ka haikua halali
 
Unakua mbea mtoto wa kiume ni aibu. Leteni video ya hiyo penalty ya pili tuone ka haikua halali
Video hiyo. Toa ufafanuzi wako
Your browser is not able to display this video.
 
Sheria ya penat nikwasimba tu basi penati zile zile kwa kmc sheria ilikuwa inabadirika haraka na Kambuzi
 
Huu ubongo utakuwa tope
 
Sasa wewe hujaona mpira umemgonga mkononi baada ya beki wake kuokoa mpira alioupiga mzamiru
Mpira ndio umemgonga mkononi na wala sio kwamba mkono wake umefuata Mpira kwa lengo kuuzui mpira.
 
Mpira ndio umemgonga mkononi na wala sio kwamba mkono wake umefuata Mpira kwa lengo kuuzui mpira.
Wakati mpira unamgonga mkono ulikua wapi? Hivi ile penalty waliopewa Man U dhidi ya PSG ipi mpira ulifuata mkono?
 
Mpira ndio umemgonga mkononi na wala sio kwamba mkono wake umefuata Mpira kwa lengo kuuzui mpira.
Mpira ukigonga mkononi the general rule ni faulo, ila kuna exceptions ambazo ni pamoja na mpira kugonga mkono kwa bahati mbaya; refa anaweza kuiacha, ila akiamua kutoiacha hawezi kulaumiwa.
 
Wakati mpira unamgonga mkono ulikua wapi? Hivi ile penalty waliopewa Man U dhidi ya PSG ipi mpira ulifuata mkono?
Ngoja tuanzie na Simba.

1. Mpira ulimgonga mchezaji wa KMC na wala hakuwa na lengo la kuuzuia mpira
2. Mpira haukuwa unaelekea golini kwa KMC bali ulikuwa unaelekea golini kwa Simba ndio ukamgonga mchezaji wa KMC hivyo awe na lengo la kuushika ili iweje wakati mpira hauekei golini kwake?
3. Mpira haukupigwa na mchezaji wa simba bali ulipigwa na mchezaji wa KMC kuelekea langoni la simba ndipo ukamgonga mchezaji mwenzie. Sasa hapo tutatafsiri vipi kuwa kazuia shambulizi makusudi kwa mkono wakati uelekeo wa mpira kipindi unapigwa ulikuwa unaelekea langoni mwa simba?

Tuje kwa Psg vs Man

Ukiangalia video ni kwamba mpira uliopigwa na mchezaji wa Man u ulikuwa unaelekea golini kwa Psg lakini mchezaji wa Psg akauzuia ule mpira ili usiingie golini.
Your browser is not able to display this video.
Your browser is not able to display this video.
 
Kwahiyo Tff kuwaondoa marefa waliochezesha mechi ya simba wamekosea kwa wale wanaopinga simba kubebwa.
 
Maelezo safi! Mbeleko Fc wamekuelewa
 
Sasa sheria ya kushika haisemi kushika ni pale tu mpira unapoelekea langoni kwako.
ndo mana ukishika mpira hata katikati ya uwanja ni adhabu ya freekick.
Ko haijalishi mpira umeshika mpira wakt unaelekea kwako au kwa adui
 
Kwahiyo Tff kuwaondoa marefa waliochezesha mechi ya simba wamekosea kwa wale wanaopinga simba kubebwa.
Mi makosa ninayo yaona ni kwamba wale vibendera walishindwa kabsa kutafsiri offside hasa yule mwanamke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…