Lion01 JF-Expert Member Joined Sep 5, 2016 Posts 527 Reaction score 995 Dec 9, 2023 #21 Sioni nafasi ya simba kushinda au kutoka sale atii
Smart AJ JF-Expert Member Joined Mar 21, 2022 Posts 5,564 Reaction score 5,884 Dec 9, 2023 #22 KUNDU LENU LIKO WAZI
A Albinoomweusi JF-Expert Member Joined Oct 28, 2016 Posts 3,433 Reaction score 8,585 Dec 9, 2023 #23 Salary Slip said: Hebu tuanze kubashiri kauli za Simba baada ya kupokea kichapo leo. 1. Kocha ana muda mfupi 2. Hata nyie Yanga mna point 2. 3 .Kipa ni tatizo. Ongeza nyingine. Click to expand... unaepata Tabu ni wewe lakini yoyote yule mwenye kujua mpira anapia wydad 80% ya kushinda na kisha zilizobaki anapewa Simba kwa mbinu za mwalimu na sio uwezo
Salary Slip said: Hebu tuanze kubashiri kauli za Simba baada ya kupokea kichapo leo. 1. Kocha ana muda mfupi 2. Hata nyie Yanga mna point 2. 3 .Kipa ni tatizo. Ongeza nyingine. Click to expand... unaepata Tabu ni wewe lakini yoyote yule mwenye kujua mpira anapia wydad 80% ya kushinda na kisha zilizobaki anapewa Simba kwa mbinu za mwalimu na sio uwezo