Simba leo wakifungwa watakuja na lipi?

Simba leo wakifungwa watakuja na lipi?

Sioni nafasi ya simba kushinda au kutoka sale atii
 
Hebu tuanze kubashiri kauli za Simba baada ya kupokea kichapo leo.

1. Kocha ana muda mfupi
2. Hata nyie Yanga mna point 2.
3 .Kipa ni tatizo.

Ongeza nyingine.
unaepata Tabu ni wewe lakini yoyote yule mwenye kujua mpira anapia wydad 80% ya kushinda na kisha zilizobaki anapewa Simba kwa mbinu za mwalimu na sio uwezo
 
Back
Top Bottom