Simba mabingwa rasmi 2017/18

Simba mabingwa rasmi 2017/18

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
25,420
Reaction score
18,298
Tunayo kila sababu ya kujipongeza, hasa wachezaji,uongozi,mashabiki wa kweli,si kazi rahisi pamoja na kutemewa mate,kuitwa mikia hatimaye tumechukua ubigwa unaotokana na ujuzi bila lawama.

Dhuluma tulizofanyiwa msimu uliopita kwa kunyimwa point za Kagera sugar na kuachwa kwa idadi ya magoli mwaka huu zimeshindwa.Mpira uwanjani,ule mpira wa mbeleko hauna nafasi tena.

Poleni sana watani mwakani hamshiriki michuano yoyote isipokuwa mapinduzi cup pekee.

Mwaka ujao tafuteni ubingwa kwa haki,sisi ndo mfano wa kuigwa,yaigeni mema kutoka kwetu
 
simba tumepambana huko ila ubingwa katupa prison
 
simba tumepambana huko ila ubingwa katupa prison
Waliotupa ubingwa sio Prison, bali vyura wa Jangwani...

Mvua imekata, maji yamekauka Jangwani vyura wako hoi...

1462466465668-jpg.345047
 
Baada ya kifurushi cha 4g kuisha wametwishwa 2g...
IMG-20180507-WA0003.jpg
 
Yanga inatupa raha wana msimbazi
 
PRISON BWANA WANASIFA SANA WAMEAMUA KUMUACHIA SUGU NA KUMFUNGA YANGA.
 
Back
Top Bottom