Viol
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 25,420
- 18,298
Tunayo kila sababu ya kujipongeza, hasa wachezaji,uongozi,mashabiki wa kweli,si kazi rahisi pamoja na kutemewa mate,kuitwa mikia hatimaye tumechukua ubigwa unaotokana na ujuzi bila lawama.
Dhuluma tulizofanyiwa msimu uliopita kwa kunyimwa point za Kagera sugar na kuachwa kwa idadi ya magoli mwaka huu zimeshindwa.Mpira uwanjani,ule mpira wa mbeleko hauna nafasi tena.
Poleni sana watani mwakani hamshiriki michuano yoyote isipokuwa mapinduzi cup pekee.
Mwaka ujao tafuteni ubingwa kwa haki,sisi ndo mfano wa kuigwa,yaigeni mema kutoka kwetu