Simba mara hii wameonesha wivu wa wazi wazi kwa Yanga

Hakika aliewaita utopolo aliwaza mbali sana
Hivi kupokea watu Airport ni kosa? Au ni mara ya kwanza kufanyika? Mbona mnaifanya ionekane kama kitu cha ajabu sana?

Hili swala mbona lipo karibu Dunia nzima hasa kwa timu pinzani.
Misimu mi 2 nyuma mamelod alipokelewa Egypt pale na Zamalek.
 
Kikosi chenu ni fake , hakuna muunganiko.
Ushindi wenu ni wa kimagumashi tu wala hakuna maajabu.
Tigopesa Fc
Kama nyinyi mkiwa na Muunganiko inatosha, Yanga kama unaiona haina Muunganiko lakini ndio inakwenda msimu wa pili unbeaten na wewe mwenye muunganiko una struggle kupata matokeo Kwa Yanga isiyo na Muunganiko au nawewe timuyako uwa inahongwa?
Tutaendelea kuwakanda mpaka mshike adabu.
 
Kwa akili za namna hii tutalaumu kila kiongozi katika Taifa hili.
 
Kweli ukiwa yanga akili zinaruka

Nyinyi mlikuwa mnaenda airport kupokea wageni ile ilikuwa sio chuki

Kama simba anawafanyia michezo michafu yanga ili asishinde kimataifa kwa nini sasa simba wakikutana na yanga hata iwe mbovu vipi anapata matokeo kwa taabu kwa nini asifanye ashinde mechi za derby

NB: Ni rahisi sana kuwadanganya mashabiki wa yanga maana wengi hamna shule ndio maana yule jamaa aliwaita nyani.
 
Wenye akili huko ni wawili tu mliobaki wote wala mihogo,, yani huu nao uzi
 
Simba hawawezi kufanya michezo yenu ya kijinga kushindana kuhonga waamuzi na wachezaji wa timu pinzani.
Simba ni club ya mpira, itaendelea kufanya vizuri kimataifa ambako ninyi hampawezi kwa kushindwa kujua uhalisia wa timu yenu inayoshinda kwa kubebwa
 
Ubora wa nani???. YANGA HAINA UBORA WOWOTE. Weka pembeni ushindi wa BAHASHA. Lete timu nyingine za Africa DADADEQ ZENU. since 1998. Na bado.
 
Hahahaa kinye fc aka muamala fc na bado mtabaki wa hapa hapa fc
 
Ubora wa nani???. YANGA HAINA UBORA WOWOTE. Weka pembeni ushindi wa BAHASHA. Lete timu nyingine za Africa DADADEQ ZENU. since 1998. Na bado.
Vip nyinyi Simba tunavyo wa tandika Kila uchao uwa tunawahonga? Nyinyi ni vibonde wetu wa kudumu. Uko Caf hamna kikombe chochote Cha kututambia.
 
Kila sehemu ambayo mbumbumbu fc wanajificha sisi tuna fumua, Hatufugi panya kwenye debe la unga.
Mabingwa mara 28, tunaendeleza unbeaten.
Kama unasema Yanga wanahonga, Kahonge na wewe tuone kama utafikisha mechi kumi hujapasuka.
Ukijidai kuvimba tunakuja kukupasua sisi wenyewe.
Apa Tanzania Mbabe ni mmoja tu, Dar Young Africa kama nawewe unajifanya mkubwa tuonyeshe makombe uliyonayo.[emoji1][emoji1]
 
Sadakta heshima kwako...

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…