Simba mara hii wameonesha wivu wa wazi wazi kwa Yanga

Hakika aliewaita utopolo aliwaza mbali sana
Hivi kupokea watu Airport ni kosa? Au ni mara ya kwanza kufanyika? Mbona mnaifanya ionekane kama kitu cha ajabu sana?

Hili swala mbona lipo karibu Dunia nzima hasa kwa timu pinzani.
Misimu mi 2 nyuma mamelod alipokelewa Egypt pale na Zamalek.
 
Kikosi chenu ni fake , hakuna muunganiko.
Ushindi wenu ni wa kimagumashi tu wala hakuna maajabu.
Tigopesa Fc
Kama nyinyi mkiwa na Muunganiko inatosha, Yanga kama unaiona haina Muunganiko lakini ndio inakwenda msimu wa pili unbeaten na wewe mwenye muunganiko una struggle kupata matokeo Kwa Yanga isiyo na Muunganiko au nawewe timuyako uwa inahongwa?
Tutaendelea kuwakanda mpaka mshike adabu.
 
Kikosi cha Yanga isiyofungika nyumbani cha msimu huu na uliyopita kimewatesa sana wana Simba walio wengi na nadhani kosa kubwa hapa kwa Simba ni kukosea katika usajiri misimu yote miwili hii.

Ubora wa Yanga hii na Simba kufungwa na Azam kumezidi kuibua chuki na hasira nyingi kwa mashabiki wa Simba dhidi ya timu ya Yanga

Mifano ipo hai hata humu humu JF jukwaa la michezo someni hizo mada, utaona nyingi ni Simba wakiisema vibaya na kuiombea mabaya Yanga!

Mechi iliyoisha Yanga alitoka suluhu, Simba walicheka na kushangilia sana, unajiuliza shida iko wapi?

Yanga anacheza kimataifa, anawakilisha taifa pia,
Yanga ndiye bingwa wa nchi hata sasa, tena bingwa ambaye hajapoteza mchezo msimu unaenda wa pili huu,
Yanga ndiyo timu bora kuliko yeyote hapa Afrika Mashariki (na hili halina ubishi), kwanini Simba wasikubali hayo? Chuki za nini? Hata akitolewa Yanga huko Tunisia nini cha ajabu? Barcelona huyo anaenda Europa kuna ajabu gani sasa?

Simba acheni chuki, bado mnabebwa kwa kila namna. Eti mnaweza msicheze hadi Jumatano siku ambayo Yanga anaingia dimbani.

Kuna tetesi kuwa mmefikia hatua ya kutumia nguvu za giza kuidhoofisha timu ya Yanga na wachezaji wake wasipate matokeo katika michezo yake yote.

Acheni hizo, chezeni mpira, mnashindwa hata na wale Simba Queens ambao unawaona wanapigana kutafuta matokeo.

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Kwa akili za namna hii tutalaumu kila kiongozi katika Taifa hili.
 
Kweli ukiwa yanga akili zinaruka

Nyinyi mlikuwa mnaenda airport kupokea wageni ile ilikuwa sio chuki

Kama simba anawafanyia michezo michafu yanga ili asishinde kimataifa kwa nini sasa simba wakikutana na yanga hata iwe mbovu vipi anapata matokeo kwa taabu kwa nini asifanye ashinde mechi za derby

NB: Ni rahisi sana kuwadanganya mashabiki wa yanga maana wengi hamna shule ndio maana yule jamaa aliwaita nyani.
 
Aliye wasaidia Simba Kwa 50% kuchukua ubingwa ni Makonda, Kitendo Cha Simba kumhujumu Manji kupitia Makonda kuli idhohofisha sana Yanga nikama walikua wakipigana na bondia aliyefungwa mikono.

Kwasasa Yanga na Simba zote Zina Matajiri na mzani ukiwa hivi, Simba hawezi kubeba kikombe chochote Cha mashindano kinacho andaliwa na Tff. Hii Hali itaishi Kwa miaka mingi ijayo.
Kilicho Baki ni malalamiko tu,hawana pa kujificha na Kadri siku zinavyo kwenda Yanga wanazidi kuimarisha timu na sehemu za ufundi.
Mbumbumbu fc watapata tabu sana.
Simba hawawezi kufanya michezo yenu ya kijinga kushindana kuhonga waamuzi na wachezaji wa timu pinzani.
Simba ni club ya mpira, itaendelea kufanya vizuri kimataifa ambako ninyi hampawezi kwa kushindwa kujua uhalisia wa timu yenu inayoshinda kwa kubebwa
 
Utopolo ni Vibatari ushindi wao wa kununua
Screenshot_20221107-195510.png
 
Kikosi cha Yanga isiyofungika nyumbani cha msimu huu na uliyopita kimewatesa sana wana Simba walio wengi na nadhani kosa kubwa hapa kwa Simba ni kukosea katika usajiri misimu yote miwili hii.

Ubora wa Yanga hii na Simba kufungwa na Azam kumezidi kuibua chuki na hasira nyingi kwa mashabiki wa Simba dhidi ya timu ya Yanga

Mifano ipo hai hata humu humu JF jukwaa la michezo someni hizo mada, utaona nyingi ni Simba wakiisema vibaya na kuiombea mabaya Yanga!

Mechi iliyoisha Yanga alitoka suluhu, Simba walicheka na kushangilia sana, unajiuliza shida iko wapi?

Yanga anacheza kimataifa, anawakilisha taifa pia,
Yanga ndiye bingwa wa nchi hata sasa, tena bingwa ambaye hajapoteza mchezo msimu unaenda wa pili huu,
Yanga ndiyo timu bora kuliko yeyote hapa Afrika Mashariki (na hili halina ubishi), kwanini Simba wasikubali hayo? Chuki za nini? Hata akitolewa Yanga huko Tunisia nini cha ajabu? Barcelona huyo anaenda Europa kuna ajabu gani sasa?

Simba acheni chuki, bado mnabebwa kwa kila namna. Eti mnaweza msicheze hadi Jumatano siku ambayo Yanga anaingia dimbani.

Kuna tetesi kuwa mmefikia hatua ya kutumia nguvu za giza kuidhoofisha timu ya Yanga na wachezaji wake wasipate matokeo katika michezo yake yote.

Acheni hizo, chezeni mpira, mnashindwa hata na wale Simba Queens ambao unawaona wanapigana kutafuta matokeo.

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Ubora wa nani???. YANGA HAINA UBORA WOWOTE. Weka pembeni ushindi wa BAHASHA. Lete timu nyingine za Africa DADADEQ ZENU. since 1998. Na bado.
 
Aliye wasaidia Simba Kwa 50% kuchukua ubingwa ni Makonda, Kitendo Cha Simba kumhujumu Manji kupitia Makonda kuli idhohofisha sana Yanga nikama walikua wakipigana na bondia aliyefungwa mikono.

Kwasasa Yanga na Simba zote Zina Matajiri na mzani ukiwa hivi, Simba hawezi kubeba kikombe chochote Cha mashindano kinacho andaliwa na Tff. Hii Hali itaishi Kwa miaka mingi ijayo.
Kilicho Baki ni malalamiko tu,hawana pa kujificha na Kadri siku zinavyo kwenda Yanga wanazidi kuimarisha timu na sehemu za ufundi.
Mbumbumbu fc watapata tabu sana.
Hahahaa kinye fc aka muamala fc na bado mtabaki wa hapa hapa fc
 
Ubora wa nani???. YANGA HAINA UBORA WOWOTE. Weka pembeni ushindi wa BAHASHA. Lete timu nyingine za Africa DADADEQ ZENU. since 1998. Na bado.
Vip nyinyi Simba tunavyo wa tandika Kila uchao uwa tunawahonga? Nyinyi ni vibonde wetu wa kudumu. Uko Caf hamna kikombe chochote Cha kututambia.
 
Kila sehemu ambayo mbumbumbu fc wanajificha sisi tuna fumua, Hatufugi panya kwenye debe la unga.
Mabingwa mara 28, tunaendeleza unbeaten.
Kama unasema Yanga wanahonga, Kahonge na wewe tuone kama utafikisha mechi kumi hujapasuka.
Ukijidai kuvimba tunakuja kukupasua sisi wenyewe.
Apa Tanzania Mbabe ni mmoja tu, Dar Young Africa kama nawewe unajifanya mkubwa tuonyeshe makombe uliyonayo.[emoji1][emoji1]
 
Sadakta heshima kwako...

Back
Top Bottom