Simba mara ya nne sasa mnakosea tena

Tuwe wa kweli, simba hana kiwango kikubwa cha uchezaji ukilinganisha na yanga, jaribu kuangalia wanaowanua golden boot waliowengi kama siyo wote ni wachezaji wa yanga. Huo ni ushahidi tosha kuwa Yanga inasafu nzuri ya ushambuliaji ukilinganisha na,simba. Jaribu kupitia utaona, achulia mbali hata mchezaji mmoja mmoja, unapotaja TAMBWE, MSUVA, NIONZIMA, KAMUSOCO, nani mwenye kasi zaidi kuliko hawa huko simba?
 
Mkuu wewe ni bure kabisa ukisema kuwa ndio timu iliyozifunga timu zote kubwa yaani yanga na azam hii nayo ni point? basi EPL timu bora mwaka huu ni liverpool kwani haijapoteza mechi kubwa hata moja iliifunga chelsea,arsenal,spurs,man city nk je tuseme liver ndiyo ilistahili kuwa bingwa? acha unazi simba mapungufu mengi sana ila manara alishasema liwake jua inyeshe mvua vpl lazima ubingwa msimbazi.
 
 
Kweri Wewe Ni Mdau Wa soka umedadavua vzr sana
 
Khaa! Mkuu. timu yako haina sifa hiyo ya kuwa Bora. Kama unakuwa bora na unashindwa kuwa Bingwa, basi haina maana ya kujiita Bora. Acha walio bora wajiite bora kwa vitendo.

1. Kupigania makombe mawili hakukufanyi uwe bora, wakati inajulikana kabisa kombe unalopigania la Ligi Kuu hauna nafasi ya kulichukua.

2. Kuwafunga azam na yanga then ukaja kufungwa na Afrika Lyon na Kagera hakukupi sifa ya kujiita Bora.

3. Kumiliki mpira sio kipimo cha ubora aisee! hiyo ni moja ya mfumo wa uchezaji soka. MAdrid ni klabu bora barani ulaya kwa sasa ila haina uwezo wa kumiliki mpira kwa kiasi kikubwa kama Barcelona.

4.Ndiyo timu yenye wachezaji wengi TImu ya Taifa.....(Kumbuka Mavugo anapata namba NT lakini hakumfanyi awe bora kuliko Ngoma asiyepata namba NT (Kwenye NT zao).
 


Huyu Jamaa amenifurahisha sana aisee!


ati kumfunga yanga na azam ndio kipimo cha ubora kwenye mtazamo wake!

sasa ni bora bingwa awe anapatikana kwa njia hizo za kuwafunga timu kubwa bila kuzingatia kama utamaliza ligi ukiwa juu au chini...
 

Mbona unarudia hoja za mwenzako bila kuacknowledge = hii inaitwa plagiarism. Nilishajibu na wewe hujauliza swali jipya zaidi ya kubold tu.
 
Yanga Afrika ndiyo klabu yenye wachezaji wa kiwango cha juu kabisa na wa ghalama ya juu kupita Clabu zote hapa tz.
Mi sio mshabiki wa Yanga lakini ukweli nauona.
MPIRA NI PESA.
Mkuu kwa kauli yako hiyo iliyokozeshwa ambayo sijawahi kumsikia nayo mtu mwengine, wala TFF haina vigezo vya kuweka viwango vya wachezaji, tutashawishikaje kwamba wewe si shabiki wa Yanga?
 



simba ndugu yao ni arsenal
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…