Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 19,637
- 29,473
Wachezaji wale wale, Kocha yule yule na Benchi lile lile lililo mfunga Ihefu (kupiga bomu mochwari na kujisifia wameua[emoji23][emoji23]).
Simba kawaonea Ihefu, Mtibwa, Horoya na Vipers ila atakavyokutana na Yanga au Wydad atakuwa mpole sana.
Ila cha kushangaza tutamuona akiingia kwenye anga za wababe (Yanga na Wydadi) akiwa kanywea kabisa, akiingia kinyumenyume, kuchoma moto uwanja.
Ama kweli kila mtu na kibonde wake.