Simba mbabe wa Ihefu tutamuona kwa Yanga na Wydad

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Wachezaji wale wale, Kocha yule yule na Benchi lile lile lililo mfunga Ihefu (kupiga bomu mochwari na kujisifia wameua[emoji23][emoji23]).

Simba kawaonea Ihefu, Mtibwa, Horoya na Vipers ila atakavyokutana na Yanga au Wydad atakuwa mpole sana.

Ila cha kushangaza tutamuona akiingia kwenye anga za wababe (Yanga na Wydadi) akiwa kanywea kabisa, akiingia kinyumenyume, kuchoma moto uwanja.

Ama kweli kila mtu na kibonde wake.

1680338387556.jpg
 
Wachezaji wale wale .....kocha yule yule na benchi lile lile lililo mfunga ihefu ( kupiga bzomu mochwali na kujisifia wameua[emoji23][emoji23])

Kolo kawaonea ihefu mtibwa horoya na vipers ila atakavyokutana na Yanga au wydad atakuwa mpole sana

Ila Chakushangaza tutamuona akiingia kwenye anga zawababe (Yanga na wydadi) akiwa kanyeea kabisa, akiingia Kinyume NYUME, kuchoma moto uwanja

Ama kweli Kila mtu na kibonde wake View attachment 2580925
Acha EGNESU.
Ihefu ilimuonea Young African..? Maana Young African alipigwa goli mbili safi.
 
Wachezaji wale wale, Kocha yule yule na Benchi lile lile lililo mfunga Ihefu (kupiga bomu mochwari na kujisifia wameua[emoji23][emoji23]).

Simba kawaonea Ihefu, Mtibwa, Horoya na Vipers ila atakavyokutana na Yanga au Wydad atakuwa mpole sana.

Ila cha kushangaza tutamuona akiingia kwenye anga za wababe (Yanga na Wydadi) akiwa kanywea kabisa, akiingia kinyumenyume, kuchoma moto uwanja.

Ama kweli kila mtu na kibonde wake.

View attachment 2580925
Kwahiyo utopolo mkimsikia Ihefu mnachanganyikiwa?

Kwahiyo Yanga na Azam walifungwa na Ihefu Basi lazima Simba naye afungwe.

Kwamba Ihefu Ni timu iliyoshindikana. Haifungiki. Na pengine wenye haki ya kuifunga Ihefu Ni Yanga.

Uto ondoeni vinyesi kwenye ubongo.
 
Halafu mkuu wewe Ni shabiki wa mazuzu, utopolo.

Sioni ukiandika chochote kuhusu timu lako. Simba brand kubwa Sana,watu mnakosa usingizi.

Kiufupi unaipambania Sana brand yetu ya Simba. Pitia nyuzi zote 90% Ni Simba.

Mnafanya kazi nzuri Sana.

Kazeni buti.
 
Tuliona tuiokoe Ligue......coz tungempiga ihefu....tungekuwa unbeaten for 50 games ..... guess what could happen
 
Kwahiyo utopolo mkimsikia Ihefu mnachanganyikiwa?

Kwahiyo Yanga na Azam walifungwa na Ihefu Basi lazima Simba naye afungwe.

Kwamba Ihefu Ni timu iliyoshindikana. Haifungiki. Na pengine wenye haki ya kuifunga Ihefu Ni Yanga.

Uto ondoeni vinyesi kwenye ubongo.
Inawezekana ihefu waliwapa zawadi
 
Halafu mkuu wewe Ni shabiki wa mazuzu, utopolo.

Sioni ukiandika chochote kuhusu timu lako. Simba brand kubwa Sana,watu mnakosa usingizi.

Kiufupi unaipambania Sana brand yetu ya Simba. Pitia nyuzi zote 90% Ni Simba.

Mnafanya kazi nzuri Sana.

Kazeni buti.
[emoji23][emoji23]
 
Kuiweka wydad na utopolo daraja moja ni matusi na kufuru lwa mpira wa tanzania, affika na dunia kwa ujumla. Wenyewe fifa au caf wakikusikia wanaweza wakaifungia yanga maisha kwa uropokaji wako baadaya kushiba mihogo.
 
Leta facts mkuu.....coz

Mimi nimebase kwenye ubabe
Means wydadi na Yanga wote ni wababe wa Simba ( koloz FC)
 
Wachezaji wale wale, Kocha yule yule na Benchi lile lile lililo mfunga Ihefu (kupiga bomu mochwari na kujisifia wameua[emoji23][emoji23]).

Simba kawaonea Ihefu, Mtibwa, Horoya na Vipers ila atakavyokutana na Yanga au Wydad atakuwa mpole sana.

Ila cha kushangaza tutamuona akiingia kwenye anga za wababe (Yanga na Wydadi) akiwa kanywea kabisa, akiingia kinyumenyume, kuchoma moto uwanja.

Ama kweli kila mtu na kibonde wake.

View attachment 2580925
Mbona wababe wako wote wanafungwa na Mnyama?
Vipers,Ihefu...sasa naamini bado wewe nadhani una hamu na zile 5

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom