Acha EGNESU.Wachezaji wale wale .....kocha yule yule na benchi lile lile lililo mfunga ihefu ( kupiga bzomu mochwali na kujisifia wameua[emoji23][emoji23])
Kolo kawaonea ihefu mtibwa horoya na vipers ila atakavyokutana na Yanga au wydad atakuwa mpole sana
Ila Chakushangaza tutamuona akiingia kwenye anga zawababe (Yanga na wydadi) akiwa kanyeea kabisa, akiingia Kinyume NYUME, kuchoma moto uwanja
Ama kweli Kila mtu na kibonde wake View attachment 2580925
Wachezaji wale wale .....kocha yule yule na benchi lile lile lililo mfunga ihefu ( kupiga bzomu mochwali na kujisifia wameua[emoji23][emoji23])
Kwahiyo utopolo mkimsikia Ihefu mnachanganyikiwa?Wachezaji wale wale, Kocha yule yule na Benchi lile lile lililo mfunga Ihefu (kupiga bomu mochwari na kujisifia wameua[emoji23][emoji23]).
Simba kawaonea Ihefu, Mtibwa, Horoya na Vipers ila atakavyokutana na Yanga au Wydad atakuwa mpole sana.
Ila cha kushangaza tutamuona akiingia kwenye anga za wababe (Yanga na Wydadi) akiwa kanywea kabisa, akiingia kinyumenyume, kuchoma moto uwanja.
Ama kweli kila mtu na kibonde wake.
View attachment 2580925
Halafu mkuu wewe Ni shabiki wa mazuzu, utopolo.Wachezaji wale wale, Kocha yule yule na Benchi lile lile lililo mfunga Ihefu (kupiga bomu mochwari na kujisifia wameua[emoji23][emoji23]).
Simba kawaonea Ihefu, Mtibwa, Horoya na Vipers ila atakavyokutana na Yanga au Wydad atakuwa mpole sana.
Ila cha kushangaza tutamuona akiingia kwenye anga za wababe (Yanga na Wydadi) akiwa kanywea kabisa, akiingia kinyumenyume, kuchoma moto uwanja.
Ama kweli kila mtu na kibonde wake.
View attachment 2580925
Acha basi[emoji23]Sijui kama unapata hata muda wa kuiwaza familia yako, kila muda unawaza uanzishe uzi gani kuhusu Simba
View attachment 2580935
Hakika mkuu ..... lazima robatinyo afukuzweMimi nasubiria tu zile lawama za kila siku wanazopelekewa baadhi ya wachezaji, na pia benchi la ufundi kwa kutokuwapanga fulani na fulani, kwa kutomchezesha fulani pembeni! badala ya katikati, nk.
Inawezekana ihefu waliwapa zawadiKwahiyo utopolo mkimsikia Ihefu mnachanganyikiwa?
Kwahiyo Yanga na Azam walifungwa na Ihefu Basi lazima Simba naye afungwe.
Kwamba Ihefu Ni timu iliyoshindikana. Haifungiki. Na pengine wenye haki ya kuifunga Ihefu Ni Yanga.
Uto ondoeni vinyesi kwenye ubongo.
[emoji23][emoji23]Halafu mkuu wewe Ni shabiki wa mazuzu, utopolo.
Sioni ukiandika chochote kuhusu timu lako. Simba brand kubwa Sana,watu mnakosa usingizi.
Kiufupi unaipambania Sana brand yetu ya Simba. Pitia nyuzi zote 90% Ni Simba.
Mnafanya kazi nzuri Sana.
Kazeni buti.
Sawa...Tuliona tuiokoe Ligue......coz tungempiga ihefu....tungekuwa unbeaten for 50 games ..... guess what could happen
Leta facts mkuu.....cozKuiweka wydad na utopolo daraja moja ni matusi na kufuru lwa mpira wa tanzania, affika na dunia kwa ujumla. Wenyewe fifa au caf wakikusikia wanaweza wakaifungia yanga maisha kwa uropokaji wako baadaya kushiba mihogo.
Hata ihefu ni wababe WA utopoloLeta facts mkuu.....coz
Mimi nimebase kwenye ubabe
Means wydadi na Yanga wote ni wababe wa Simba ( koloz FC)
Endelea kisubiri mkuu utazipataMimi nasubiria tu zile lawama za kila siku wanazopelekewa baadhi ya wachezaji, na pia benchi la ufundi kwa kutokuwapanga fulani na fulani, kwa kutomchezesha fulani pembeni! badala ya katikati, nk.
Mbona wababe wako wote wanafungwa na Mnyama?Wachezaji wale wale, Kocha yule yule na Benchi lile lile lililo mfunga Ihefu (kupiga bomu mochwari na kujisifia wameua[emoji23][emoji23]).
Simba kawaonea Ihefu, Mtibwa, Horoya na Vipers ila atakavyokutana na Yanga au Wydad atakuwa mpole sana.
Ila cha kushangaza tutamuona akiingia kwenye anga za wababe (Yanga na Wydadi) akiwa kanywea kabisa, akiingia kinyumenyume, kuchoma moto uwanja.
Ama kweli kila mtu na kibonde wake.
View attachment 2580925