Simba mbabe wa Ihefu tutamuona kwa Yanga na Wydad

Kuiweka wydad na utopolo daraja moja ni matusi na kufuru lwa mpira wa tanzania, affika na dunia kwa ujumla. Wenyewe fifa au caf wakikusikia wanaweza wakaifungia yanga maisha kwa uropokaji wako baadaya kushiba mihogo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa kweli.
 
We kijana tafuta hata pesa acha kuwaza utopolo united muda wote.

Yanga ni timu ya kawaida sana inayocheza kwa kukamia mechi.

Mfano mechi ya leo dhidi ya Geita Gold utopolo walikuwa wanakimbizana hovyo tu bila mipango.

Nb: Mwambie injinia akupe likizo upumzike kuandika upuuzi humu[emoji23]
 
Ukikua utaujua ukweli
 
Wakati huo wanakuwa wakimlaumu mtu wao nusu chuma nusu Mtu🏃🏃😂
 
Lete mrejesho sasa wa hiki ulichoandika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…