Simba mbabe wa Ihefu tutamuona kwa Yanga na Wydad

Kuiweka wydad na utopolo daraja moja ni matusi na kufuru lwa mpira wa tanzania, affika na dunia kwa ujumla. Wenyewe fifa au caf wakikusikia wanaweza wakaifungia yanga maisha kwa uropokaji wako baadaya kushiba mihogo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa kweli.
 
We kijana tafuta hata pesa acha kuwaza utopolo united muda wote.

Yanga ni timu ya kawaida sana inayocheza kwa kukamia mechi.

Mfano mechi ya leo dhidi ya Geita Gold utopolo walikuwa wanakimbizana hovyo tu bila mipango.

Nb: Mwambie injinia akupe likizo upumzike kuandika upuuzi humu[emoji23]
 
Ukikua utaujua ukweli
 
Wachezaji wale wale, Kocha yule yule na Benchi lile lile lililo mfunga Ihefu (kupiga bomu mochwari na kujisifia wameua[emoji23][emoji23]).

Simba kawaonea Ihefu, Mtibwa, Horoya na Vipers ila atakavyokutana na Yanga au Wydad atakuwa mpole sana.

Ila cha kushangaza tutamuona akiingia kwenye anga za wababe (Yanga na Wydadi) akiwa kanywea kabisa, akiingia kinyumenyume, kuchoma moto uwanja.

Ama kweli kila mtu na kibonde wake.

View attachment 2580925
Wakati huo wanakuwa wakimlaumu mtu wao nusu chuma nusu Mtu🏃🏃😂
 
Wachezaji wale wale, Kocha yule yule na Benchi lile lile lililo mfunga Ihefu (kupiga bomu mochwari na kujisifia wameua[emoji23][emoji23]).

Simba kawaonea Ihefu, Mtibwa, Horoya na Vipers ila atakavyokutana na Yanga au Wydad atakuwa mpole sana.

Ila cha kushangaza tutamuona akiingia kwenye anga za wababe (Yanga na Wydadi) akiwa kanywea kabisa, akiingia kinyumenyume, kuchoma moto uwanja.

Ama kweli kila mtu na kibonde wake.

View attachment 2580925
Lete mrejesho sasa wa hiki ulichoandika
 
Mimi nasubiria tu zile lawama za kila siku wanazopelekewa baadhi ya wachezaji, na pia benchi la ufundi kwa kutokuwapanga fulani na fulani, kwa kutomchezesha fulani pembeni! badala ya katikati, nk.
[emoji2][emoji2]
IMG-20230423-WA0059.jpg
 
Back
Top Bottom