[emoji23][emoji23][emoji23]Na hii ndiyo furaha yenu pekee iliyobakia hapa duniani. Wenzenu siku zote tunafurahia kubeba makombe.
Vipi mkuu, habari yake mnyama ushaipata? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wachezaji wale wale, Kocha yule yule na Benchi lile lile lililo mfunga Ihefu (kupiga bomu mochwari na kujisifia wameua[emoji23][emoji23]).
Simba kawaonea Ihefu, Mtibwa, Horoya na Vipers ila atakavyokutana na Yanga au Wydad atakuwa mpole sana.
Ila cha kushangaza tutamuona akiingia kwenye anga za wababe (Yanga na Wydadi) akiwa kanywea kabisa, akiingia kinyumenyume, kuchoma moto uwanja.
Ama kweli kila mtu na kibonde wake.
View attachment 2580925
Wewe kibiriti ngoma bado una la.kusema?Wachezaji wale wale, Kocha yule yule na Benchi lile lile lililo mfunga Ihefu (kupiga bomu mochwari na kujisifia wameua[emoji23][emoji23]).
Simba kawaonea Ihefu, Mtibwa, Horoya na Vipers ila atakavyokutana na Yanga au Wydad atakuwa mpole sana.
Ila cha kushangaza tutamuona akiingia kwenye anga za wababe (Yanga na Wydadi) akiwa kanywea kabisa, akiingia kinyumenyume, kuchoma moto uwanja.
Ama kweli kila mtu na kibonde wake.
View attachment 2580925
La zaidi achukue kopo awahi maliwatoni kujiswafi wanaume wameshamaliza kaziYanga kapigwa 2
Wydadi kapigwa 1 .... kuna la ziada mkuu?
Anapanga cha kujitetea,hawanaga dogo hao mbuziWewe kibiriti ngoma bado una la.kusema?
Wee tesekaaa taratibuuu, poleeeeNa hii ndiyo furaha yenu pekee iliyobakia hapa duniani. Wenzenu siku zote tunafurahia kubeba makombe.
Anapanga cha kujitetea,hawanaga dogo hao mbuzi
[emoji23][emoji23]Tatizo la UTOPOLO FC Ni MWIKO HUKO NYUMA..
Toa MWIKO Kwanza akili zikurudie mkuu.
Sent from my 2201117SG using JamiiForums mobile app
Jina litakuja KIBUDENGA MKANDAJINa hii ndiyo furaha yenu pekee iliyobakia hapa duniani. Wenzenu siku zote tunafurahia kubeba makombe.
Uzi umefungwa wazee