Simba mbabe wa Ihefu tutamuona kwa Yanga na Wydad

Wachezaji wale wale, Kocha yule yule na Benchi lile lile lililo mfunga Ihefu (kupiga bomu mochwari na kujisifia wameua[emoji23][emoji23]).

Simba kawaonea Ihefu, Mtibwa, Horoya na Vipers ila atakavyokutana na Yanga au Wydad atakuwa mpole sana.

Ila cha kushangaza tutamuona akiingia kwenye anga za wababe (Yanga na Wydadi) akiwa kanywea kabisa, akiingia kinyumenyume, kuchoma moto uwanja.

Ama kweli kila mtu na kibonde wake.

View attachment 2580925
Vipi mkuu, habari yake mnyama ushaipata? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wachezaji wale wale, Kocha yule yule na Benchi lile lile lililo mfunga Ihefu (kupiga bomu mochwari na kujisifia wameua[emoji23][emoji23]).

Simba kawaonea Ihefu, Mtibwa, Horoya na Vipers ila atakavyokutana na Yanga au Wydad atakuwa mpole sana.

Ila cha kushangaza tutamuona akiingia kwenye anga za wababe (Yanga na Wydadi) akiwa kanywea kabisa, akiingia kinyumenyume, kuchoma moto uwanja.

Ama kweli kila mtu na kibonde wake.

View attachment 2580925
Wewe kibiriti ngoma bado una la.kusema?
 
Kweli ni mbabe,

Kote huko amepita na ameacha watu wanatema mate tu.
 
Na hii ndiyo furaha yenu pekee iliyobakia hapa duniani. Wenzenu siku zote tunafurahia kubeba makombe.
Jina litakuja KIBUDENGA MKANDAJI
ahmedally_-20230424-0001.jpg
 
Back
Top Bottom