mpiga vichwa JF-Expert Member Joined Oct 21, 2021 Posts 2,376 Reaction score 3,811 Dec 13, 2022 #41 Mkiambiwa nyie ni hamnazo mnabweka kama manyani mnasema tumewatukana lakini huo ndiyo ukweli Luc Eymael hakukosea. Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
Mkiambiwa nyie ni hamnazo mnabweka kama manyani mnasema tumewatukana lakini huo ndiyo ukweli Luc Eymael hakukosea. Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
Nas Mapesa JF-Expert Member Joined Jul 31, 2014 Posts 5,286 Reaction score 5,421 Dec 13, 2022 #42 mpiga vichwa said: Mkiambiwa nyie ni hamnazo mnabweka kama manyani mnasema tumewatukana lakini huo ndiyo ukweli Luc Eymael hakukosea. Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app Click to expand... Wala ngada wengi ni vichaa
mpiga vichwa said: Mkiambiwa nyie ni hamnazo mnabweka kama manyani mnasema tumewatukana lakini huo ndiyo ukweli Luc Eymael hakukosea. Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app Click to expand... Wala ngada wengi ni vichaa
BRN JF-Expert Member Joined Nov 18, 2013 Posts 5,188 Reaction score 6,633 Dec 13, 2022 #43 Msanii said: Simba ni timu ninayoishabikia kwa mapenzi yote. Lakini kwenye hili wacha ipigwe mnada kwa sababu ninaipenda Tanzania ikue katika soka. Nilishasema huko nyuma kwamba ili soka la Tanzania likue inahitajika Simba au Yanga mojawapo ife Click to expand... Utasubiri sana..Simba ni taasisi siyo kilabu cha Mbege
Msanii said: Simba ni timu ninayoishabikia kwa mapenzi yote. Lakini kwenye hili wacha ipigwe mnada kwa sababu ninaipenda Tanzania ikue katika soka. Nilishasema huko nyuma kwamba ili soka la Tanzania likue inahitajika Simba au Yanga mojawapo ife Click to expand... Utasubiri sana..Simba ni taasisi siyo kilabu cha Mbege