Tetesi: Simba mbioni kupigwa mnada

Tetesi: Simba mbioni kupigwa mnada

Simba ni timu ninayoishabikia kwa mapenzi yote. Lakini kwenye hili wacha ipigwe mnada kwa sababu ninaipenda Tanzania ikue katika soka.

Nilishasema huko nyuma kwamba ili soka la Tanzania likue inahitajika Simba au Yanga mojawapo ife
Utasubiri sana..Simba ni taasisi siyo kilabu cha Mbege
 
Back
Top Bottom