Tetesi: Simba mbioni kupigwa mnada

Tetesi: Simba mbioni kupigwa mnada

mzee wa bwaksi

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2021
Posts
2,255
Reaction score
3,972
Habari za ndani kabisa tulizozipokea zinaeleza ya kuwa mojawapo kati ya hizi klabu mbili kongwe hapa nchini ipo mbioni kupigwa mnada.

Japo chanzo chetu cha kuaminika hakijaitaja moja kwa moja klabu hiyo, ila wadau mbalimbali wa michezo wameihusisha timu ya Simba kuwa ndio mlengwa kutokana na ukata mkubwa unaoikabili hapo klabuni hali iliyopelekea wachezaji kushindwa kulipwa mishahara na posho, kushindwa kuajiri kocha mkuu pamoja na timu kukosa usafiri wa basi.

Pia ukata mkubwa uliyoikumba klabu iyo umepelekea kushindwa kutenga bajeti ya usajili dilisha dogo linalotarajiwa kufunguliwa hivi karibuni.

Taarifa zaidi zinadokeza ya kuwa Mwekezaji wa klabu iyo ameikacha klabu hiyo huku mtendaji mkuu wa klabu nae akiandika barua ya kujiuzulu wakati ambao mwenendo wa timu kwenye ligi ukiwa ni wakusuasua.

Wadau mbalimbali wameiomba serikali iingilie kati ili kuinusuru klabu hii kongwe isije kupotea kwenye ramani ya soka la nchi hii kama ndugu zao African Lyon FC walivyopotea
 
Mnahangaika na mambo ya simba wakati ma group ya Caf confederation cup yameshapangwa mkija kupigwa 7 sijui mtamlaumu nani.
Acha kuchonga wewe pwilo kasaidie kuokoa jahazi la timu hali ni mbaya.. unaambiwa hakuna bajeti ya usajili dilisha dogo halafu bado unaona mambo yako sawa.
Kibu D atatuvusha semi final cafcl kweli???
 
Jidanganyeni tu premier league na Caf confederation cup au champions league ni tofauti kule hakuna bahasha na wachezaji wenu wale walivyonenepa.
 
Tuliwaambia kuhusu Barbara imetokea, tukawaambia kuhusu Mwamedi Dewji imetokea, na hili la kuhusu usajili linaenda kutokea.. hata ivo sikulaumu kubisha maana Kwa kabila letu pwilo ni mbumbumbu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Habari za ndani kabisa tulizozipokea zinaeleza ya kuwa mojawapo kati ya hizi klabu mbili kongwe hapa nchini ipo mbioni kupigwa mnada.

Japo chanzo chetu cha kuaminika hakijaitaja moja kwa moja klabu hiyo, ila wadau mbalimbali wa michezo wameihusisha timu ya Simba kuwa ndio mlengwa kutokana na ukata mkubwa unaoikabili hapo klabuni hali iliyopelekea wachezaji kushindwa kulipwa mishahara na posho, kushindwa kuajiri kocha mkuu pamoja na timu kukosa usafiri wa basi.

Pia ukata mkubwa uliyoikumba klabu iyo umepelekea kushindwa kutenga bajeti ya usajili dilisha dogo linalotarajiwa kufunguliwa hivi karibuni.

Taarifa zaidi zinadokeza ya kuwa Mwekezaji wa klabu iyo ameikacha klabu hiyo huku mtendaji mkuu wa klabu nae akiandika barua ya kujiuzulu wakati ambao mwenendo wa timu kwenye ligi ukiwa ni wakusuasua.

Wadau mbalimbali wameiomba serikali iingilie kati ili kuinusuru klabu hii kongwe isije kupotea kwenye ramani ya soka la nchi hii kama ndugu zao African Lyon FC walivyopotea
Simba ni timu ninayoishabikia kwa mapenzi yote. Lakini kwenye hili wacha ipigwe mnada kwa sababu ninaipenda Tanzania ikue katika soka.

Nilishasema huko nyuma kwamba ili soka la Tanzania likue inahitajika Simba au Yanga mojawapo ife
 
Back
Top Bottom