Tetesi: Simba mbioni kupigwa mnada

Tetesi: Simba mbioni kupigwa mnada

Habari za ndani kabisa tulizozipokea zinaeleza ya kuwa mojawapo kati ya hizi klabu mbili kongwe hapa nchini ipo mbioni kupigwa mnada.

Japo chanzo chetu cha kuaminika hakijaitaja moja kwa moja klabu hiyo, ila wadau mbalimbali wa michezo wameihusisha timu ya Simba kuwa ndio mlengwa kutokana na ukata mkubwa unaoikabili hapo klabuni hali iliyopelekea wachezaji kushindwa kulipwa mishahara na posho, kushindwa kuajiri kocha mkuu pamoja na timu kukosa usafiri wa basi.

Pia ukata mkubwa uliyoikumba klabu iyo umepelekea kushindwa kutenga bajeti ya usajili dilisha dogo linalotarajiwa kufunguliwa hivi karibuni.

Taarifa zaidi zinadokeza ya kuwa Mwekezaji wa klabu iyo ameikacha klabu hiyo huku mtendaji mkuu wa klabu nae akiandika barua ya kujiuzulu wakati ambao mwenendo wa timu kwenye ligi ukiwa ni wakusuasua.

Wadau mbalimbali wameiomba serikali iingilie kati ili kuinusuru klabu hii kongwe isije kupotea kwenye ramani ya soka la nchi hii kama ndugu zao African Lyon FC walivyopotea
mkubwa mzima upo busy kusambaza uongo.. so shameee!
 
Kwa hiyo ikiuzwa mimi shabiki au mwanachama wa simba niumie au nifurahie?

Mwekezaji ana hisa zake 49% wenye simba yao wana hisa zao 51%, anayeuza timu nani hapo?

Inauzwa timu au zinauzwa hisa?
 
Habari za ndani kabisa tulizozipokea zinaeleza ya kuwa mojawapo kati ya hizi klabu mbili kongwe hapa nchini ipo mbioni kupigwa mnada.

Japo chanzo chetu cha kuaminika hakijaitaja moja kwa moja klabu hiyo, ila wadau mbalimbali wa michezo wameihusisha timu ya Simba kuwa ndio mlengwa kutokana na ukata mkubwa unaoikabili hapo klabuni hali iliyopelekea wachezaji kushindwa kulipwa mishahara na posho, kushindwa kuajiri kocha mkuu pamoja na timu kukosa usafiri wa basi.

Pia ukata mkubwa uliyoikumba klabu iyo umepelekea kushindwa kutenga bajeti ya usajili dilisha dogo linalotarajiwa kufunguliwa hivi karibuni.

Taarifa zaidi zinadokeza ya kuwa Mwekezaji wa klabu iyo ameikacha klabu hiyo huku mtendaji mkuu wa klabu nae akiandika barua ya kujiuzulu wakati ambao mwenendo wa timu kwenye ligi ukiwa ni wakusuasua.

Wadau mbalimbali wameiomba serikali iingilie kati ili kuinusuru klabu hii kongwe isije kupotea kwenye ramani ya soka la nchi hii kama ndugu zao African Lyon FC walivyopotea
Biashara ya madawa ya kulevya hainaga uhakika sana, tuwe macho na wafadhili wa timu zetu wanaonekana ni mabilionea kumbe ni pesa za unga
 
Kweli kabisa
FB_IMG_16702387582482129.jpg
 
Mkuu hata ikipigwa mnada, simba haitabadili jina kuitwa "Mayele FC".
 
Habari za ndani kabisa tulizozipokea zinaeleza ya kuwa mojawapo kati ya hizi klabu mbili kongwe hapa nchini ipo mbioni kupigwa mnada.

Japo chanzo chetu cha kuaminika hakijaitaja moja kwa moja klabu hiyo, ila wadau mbalimbali wa michezo wameihusisha timu ya Simba kuwa ndio mlengwa kutokana na ukata mkubwa unaoikabili hapo klabuni hali iliyopelekea wachezaji kushindwa kulipwa mishahara na posho, kushindwa kuajiri kocha mkuu pamoja na timu kukosa usafiri wa basi.

Pia ukata mkubwa uliyoikumba klabu iyo umepelekea kushindwa kutenga bajeti ya usajili dilisha dogo linalotarajiwa kufunguliwa hivi karibuni.

Taarifa zaidi zinadokeza ya kuwa Mwekezaji wa klabu iyo ameikacha klabu hiyo huku mtendaji mkuu wa klabu nae akiandika barua ya kujiuzulu wakati ambao mwenendo wa timu kwenye ligi ukiwa ni wakusuasua.

Wadau mbalimbali wameiomba serikali iingilie kati ili kuinusuru klabu hii kongwe isije kupotea kwenye ramani ya soka la nchi hii kama ndugu zao African Lyon FC walivyopotea
Mwamedi janja janja sana njoo huku unaitwa.
 
Kwanini iuzwe? Zile 20B si ilikuwa kwa ajili ya kuendeshea timu?
 
Back
Top Bottom