Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,307
- 25,932
Timu za kiafrica kila timu inakua nzuri ikiwa nyumbani kimpira wa kisayansi Al ahly wametuzidi Sana kwenye mpira na uzoefu,narudi kusema mechi ya As Vita na ile ya Jana Simba tumefungwa magoli ya kawaida Sana na ilo linatokana na uzoefuKlabu ya Simba ya Tanzania inayoshiriki michuano ya Klabu Bingwa Barani Afrika hatua ya makundi iko mbioni kuweka rekodi barani Afrika kwa kuwa timu ya kwanza kufungwa magoli mengi katika hatua ya makundi.
Hadi sasa,zikisalia mechi tatu za hatua ya makundi,Simba imeshafungwa magoli 10. Ingawa Jana TP Mazembe imeizaba Club Africain mabao 8,Simba iko katika mwendo mzuri wa kuweka rekodi hiyo ya kukumbukwa Afrika.
Kila la heri watani wa jadi!
Mkuu,jana Mabingwa watetezi Wydad Casablanca wameshinda ugenini kwa Lobi Stars. Hapo vipi?Timu za kiafrica kila timu inakua nzuri ikiwa nyumbani kimpira wa kisayansi Al ahly wametuzidi Sana kwenye mpira na uzoefu,narudi kusema mechi ya As Vita na ile ya Jana Simba tumefungwa magoli ya kawaida Sana na ilo linatokana na uzoefu
Sent using Jamii Forums mobile app
Inaweza ikatokea ila marachache sana mpira wa kiafrica una matokeo ya ajabu subiri nkukumbushe Raja Casablanca 6-0 Yanga ,marudiano 3-3, zamalek 6-1 Enyimba, marudiano Enyimba kashinda 2-1,Final za mwaka Raja Casablanca 3-0 As Vita, marudiano As Vita 3-1 Raja Casablanca kwaio iyo inakukumbusha soka la Africa Kuna Mambo mengi sanaMkuu,jana Mabingwa watetezi Wydad Casablanca wameshinda ugenini kwa Lobi Stars. Hapo vipi?
Mkuu,fainali ya mwaka jana, Casablanca alicheza na Al-AhlyInaweza ikatokea ila marachache sana mpira wa kiafrica una matokeo ya ajabu subiri nkukumbushe Raja Casablanca 6-0 Yanga ,marudiano 3-3, zamalek 6-1 Enyimba, marudiano Enyimba kashinda 2-1,Final za mwaka Raja Casablanca 3-0 As Vita, marudiano As Vita 3-1 Raja Casablanca kwaio iyo inakukumbusha soka la Africa Kuna Mambo mengi sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Na As vitaMkuu,fainali ya mwaka jana, Casablanca alicheza na Al-Ahly
Nimwendo wa viganja tuKlabu ya Simba ya Tanzania inayoshiriki michuano ya Klabu Bingwa Barani Afrika hatua ya makundi iko mbioni kuweka rekodi barani Afrika kwa kuwa timu ya kwanza kufungwa magoli mengi katika hatua ya makundi.
Hadi sasa,zikisalia mechi tatu za hatua ya makundi,Simba imeshafungwa magoli 10. Ingawa Jana TP Mazembe imeizaba Club Africain mabao 8,Simba iko katika mwendo mzuri wa kuweka rekodi hiyo ya kukumbukwa Afrika.
Kila la heri watani wa jadi!
Kwenye makundi mlimaliza mkiani na point moja hamuoni aibuONA MAAJABU HAYA NDANI YA MIAKA 5 ILIYOPITA
Mwaka 2014.
Yanga 1 - 0 Al ahly (Dar)
Al ahly 1 - 0 Yanga (Cairo)
(Al Ahly akashinda 5-4 kwa penati)
Mwaka 2016.
Yanga 0 - 0 Al ahly (Dar)
Al ahly 2 - 1 Yanga (Cairo)
Mechi nne ;-
Al ahly win 2
Yanga win 1
Sare 1
magoli ya kufunga;-
Al ahly 3
Yanga 2
hiyo inamaanisha katika mechi nne Yanga karuhusu goli 3 tu kwa Al Ahly wakati yeye pia akifunga goli mbili.
RECORD YA UNDERDOG.
Al ahly 5 - 0 Mikia SC
yaani magoli aliyofungwa katika mechi yake moja tu ni Sawa na magoli ya timu zote mbili katika mechi NNE walizocheza tena Al Ahly waliwapumzisha Key Players wao 8 , walimaliza mchezo first half hawakutaka kumaliza nguvu zao kwa Mbumbumbu. . Endapo wangeuwasha moto dk 90 basi underdog wangevunja rekodi ya Club African.
TUNAVYOITWA WA KIMATAIFA TAMBUENI SIO KAZI RAHISI.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kazi mnayo maana ni viganja tu,inasikitisha Hadi karne ya 21 mnakula 5 5 tuInaweza ikatokea ila marachache sana mpira wa kiafrica una matokeo ya ajabu subiri nkukumbushe Raja Casablanca 6-0 Yanga ,marudiano 3-3, zamalek 6-1 Enyimba, marudiano Enyimba kashinda 2-1,Final za mwaka Raja Casablanca 3-0 As Vita, marudiano As Vita 3-1 Raja Casablanca kwaio iyo inakukumbusha soka la Africa Kuna Mambo mengi sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi unajua kuwa wachezaji wa kutegemewa wa al ahly karibu 6 hawakuwepo jana?
Kwani Arsenal kiganja kala lini UCl dhid ya Bayern Munich home and away? Au wewe ndio Yanga wale wale Yanga yangu?Kazi mnayo maana ni viganja tu,inasikitisha Hadi karne ya 21 mnakula 5 5 tu
Kikubwa ni kufuzu sisi tunanafasi nzuri ya kufuzu Hadi Sasa Al ahly Kwa mchina hatokiKazi mnayo maana ni viganja tu,inasikitisha Hadi karne ya 21 mnakula 5 5 tu
Hata nkana ilikuwa hivyohivyo na tuliwabamiza na hao hapa watakufa hivyo hivyo hatuwezi toka nao sare sisi.Hivi unajua kuwa wachezaji wa kutegemewa wa al ahly karibu 6 hawakuwepo jana?
Mkuu ni tisa hawakuwepo, akiwepo waliosajili EPL Ramadhani Sobi.Hivi unajua kuwa wachezaji wa kutegemewa wa al ahly karibu 6 hawakuwepo jana?