Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,307
- 25,932
Klabu ya Simba ya Tanzania inayoshiriki michuano ya Klabu Bingwa Barani Afrika hatua ya makundi iko mbioni kuweka rekodi barani Afrika kwa kuwa timu ya kwanza kufungwa magoli mengi katika hatua ya makundi.
Hadi sasa,zikisalia mechi tatu za hatua ya makundi,Simba imeshafungwa magoli 10. Ingawa Jana TP Mazembe imeizaba Club Africain mabao 8,Simba iko katika mwendo mzuri wa kuweka rekodi hiyo ya kukumbukwa Afrika.
Kila la heri watani wa jadi!