Simba mbioni kuweka rekodi Afrika

Al Ahly iliyocheza na yanga ndiyo hii iliyocheza jana na simba kwa maana ya wachezaji?
 
Hakianani mi jana nilifikiri tutaifikia na kuvunja hii record lkn kwa kudura za mungu haikuwa hivyo. acha aendelee kuishikilia mtani
 
acheni kujifanya wasahaulifu nyie vyuraa!!!

 
Kwahiyo ndo kusema akija mwarabu kwa mchini mtalipa? Na as vita je?
 
Kwenye makundi mlimaliza mkiani na point moja hamuoni aibu

Sent using Jamii Forums mobile app
Yanga alimaliza na point 2 baada kuambulia safe 2 dhidi ya Raja Casablank na Maning Rangers. Tofauti na hii ya Leo, kipindi ilikuwa in nane bora, na makundi yalikuwa mawili tu. Kimaesabu Yanga ilifika 1/4 final. Ilikuwa 1998, atakayebisha Hugo ni was kizazi cha JK era.
 
Al Ahly iliyocheza na yanga ndiyo hii iliyocheza jana na simba kwa maana ya wachezaji?
Ilikuwa zaidi ya hii iliyocheza na Simba, maana wao ndiyo walikuwa mabingwa watetezi. Unajuwa historia IPO, kumbukumbu zipo, ila sisi wapenzi was Yanga tupo tofauti na wenzetu, hatutumiagi nguvu nyingi kwenye argument.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…