Simba mbioni kuweka rekodi Afrika

Simba mbioni kuweka rekodi Afrika

ONA MAAJABU HAYA NDANI YA MIAKA 5 ILIYOPITA

Mwaka 2014.
Yanga 1 - 0 Al ahly (Dar)
Al ahly 1 - 0 Yanga (Cairo)
(Al Ahly akashinda 5-4 kwa penati)

Mwaka 2016.
Yanga 0 - 0 Al ahly (Dar)
Al ahly 2 - 1 Yanga (Cairo)

Mechi nne ;-
Al ahly win 2
Yanga win 1
Sare 1

magoli ya kufunga;-
Al ahly 3
Yanga 2

hiyo inamaanisha katika mechi nne Yanga karuhusu goli 3 tu kwa Al Ahly wakati yeye pia akifunga goli mbili.

RECORD YA UNDERDOG.

Al ahly 5 - 0 Mikia SC

yaani magoli aliyofungwa katika mechi yake moja tu ni Sawa na magoli ya timu zote mbili katika mechi NNE walizocheza tena Al Ahly waliwapumzisha Key Players wao 8 , walimaliza mchezo first half hawakutaka kumaliza nguvu zao kwa Mbumbumbu. . Endapo wangeuwasha moto dk 90 basi underdog wangevunja rekodi ya Club African.

TUNAVYOITWA WA KIMATAIFA TAMBUENI SIO KAZI RAHISI.

Sent using Jamii Forums mobile app
Al Ahly iliyocheza na yanga ndiyo hii iliyocheza jana na simba kwa maana ya wachezaji?
 
Hakianani mi jana nilifikiri tutaifikia na kuvunja hii record lkn kwa kudura za mungu haikuwa hivyo. acha aendelee kuishikilia mtani
1549191976516.png
 
acheni kujifanya wasahaulifu nyie vyuraa!!!

1549192092370.png
 
Inaweza ikatokea ila marachache sana mpira wa kiafrica una matokeo ya ajabu subiri nkukumbushe Raja Casablanca 6-0 Yanga ,marudiano 3-3, zamalek 6-1 Enyimba, marudiano Enyimba kashinda 2-1,Final za mwaka Raja Casablanca 3-0 As Vita, marudiano As Vita 3-1 Raja Casablanca kwaio iyo inakukumbusha soka la Africa Kuna Mambo mengi sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo ndo kusema akija mwarabu kwa mchini mtalipa? Na as vita je?
 
Kwenye makundi mlimaliza mkiani na point moja hamuoni aibu

Sent using Jamii Forums mobile app
Yanga alimaliza na point 2 baada kuambulia safe 2 dhidi ya Raja Casablank na Maning Rangers. Tofauti na hii ya Leo, kipindi ilikuwa in nane bora, na makundi yalikuwa mawili tu. Kimaesabu Yanga ilifika 1/4 final. Ilikuwa 1998, atakayebisha Hugo ni was kizazi cha JK era.
 
Al Ahly iliyocheza na yanga ndiyo hii iliyocheza jana na simba kwa maana ya wachezaji?
Ilikuwa zaidi ya hii iliyocheza na Simba, maana wao ndiyo walikuwa mabingwa watetezi. Unajuwa historia IPO, kumbukumbu zipo, ila sisi wapenzi was Yanga tupo tofauti na wenzetu, hatutumiagi nguvu nyingi kwenye argument.
 
Back
Top Bottom