Simba mchukueni Masao bwire

Simba mchukueni Masao bwire

ibanezafrica

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
7,261
Reaction score
6,553
Simba huyu mwalimu/msemaji atawafaa sana ikiwa mtaamua kuachana na Haji,huyu ni muhamasishaji nguli na huenda akawa hana gharama kubwa zaidi ya mshahara wa wastani na kumnunulia simu 6 za smart kwa kuanzia kazi.
 
Timu ikifanya vizuri uwanjani msemaji anapata sofa kumbe sofa ziende kwa mtoa pesa. Ile Yanga ya kampa kampa tena Haji alikuwepo na hakufua dafu kwa Jerry,utasema nini wakati timu mbovu?

Style ya usemaji wa Simba sisi Simba tunaifurahia ila ana character assassination nyingi. Siku Simba yawezalipishwa fidia kuwa kupitiliza uongeaji.
Ni kama uchekeshaji wa Mpoki mwarabu wa Dubai,ni mpaka adhalilishe watu
 
Hebu acha utani
Hivi unajua masau bwire ni mwajiriwa wa Jwtz?
Kwahiyo aache kazi jwtz akalipwe laki 7?
We jamaa muongo wewe Masau ni mwalimu anafundisha makumbusho primary kama sijakosea
 
Humu ndani watu wanajifanya kuzidharau laki saba!! Tusidanganyane, Haji angezipata wapi laki saba kwa kazi ya kubwabwaja? Kwa cv ipi Haji Manara apatè zaidi ya laki saba? Manara ana thamani ndani ya simba, lakini nje ya simba hana thamani yoyote!!
 
Back
Top Bottom