ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,553
By professional ni mwalimu wa primary uyo hana uanajeshi ata wa kuchovyaHebu acha utani
Hivi unajua masau bwire ni mwajiriwa wa Jwtz?
Kwahiyo aache kazi jwtz akalipwe laki 7?
We jamaa muongo wewe Masau ni mwalimu anafundisha makumbusho primary kama sijakoseaHebu acha utani
Hivi unajua masau bwire ni mwajiriwa wa Jwtz?
Kwahiyo aache kazi jwtz akalipwe laki 7?
Unadanganywa na ile picha ya madaftari kibao anasahihisha hahaha...We jamaa muongo wewe Masau ni mwalimu anafundisha makumbusho primary kama sijakosea
Kwahiyo hakunaga wanajeshi ambao ni walimu?? Au hujui hilo?By professional ni mwalimu wa primary uyo hana uanajeshi ata wa kuchovya
Yule ni mwalimu wa shule bwanaHebu acha utani
Hivi unajua masau bwire ni mwajiriwa wa Jwtz?
Kwahiyo aache kazi jwtz akalipwe laki 7?
eeh??Hebu acha utani
Hivi unajua masau bwire ni mwajiriwa wa Jwtz?
Kwahiyo aache kazi jwtz akalipwe laki 7?
do! simba washakuwa wazee wa laki saba! Koma!Hebu acha utani
Hivi unajua masau bwire ni mwajiriwa wa Jwtz?
Kwahiyo aache kazi jwtz akalipwe laki 7?
Atachukua tu wèeee halafu pale Ruvu ndege atapanda lini?Masau Bwire anatufaa sana sema atakubali mia saba?