Mzaleee
JF-Expert Member
- Dec 16, 2016
- 2,069
- 3,899
Ni kweli mnaweza kuwa na ukaribu na marefa na ndo hao mnaowatumia kuumiza timu kama azam na Dodoma jiji lakn lazima mkumbuke yanga ni kigogo wa soka hapa Tanzania hivo msitegemee kubebwa na marefa mnapokutana.
Kwanini nasema hivi,mara baada ya mchezi wa Jana mashabiki wakiongozwa na viongozi wote,Kwa pamoja wamemnyoshea kidole mwamuzi Kwa kunyimwa penati mbili.
Kiuhalisia matukio ya penati zile ni nyepesi Sana ambazo simba wamezoea kuwa wakipewa mara Kwa mara wachezapo na timu kama Dodoma jiji na azam,kitu wanashidwa kujua hii ni derby na inatazwa na watu kibao kwahy hakuna janja janja.
Na kama zile zilikuwa penati mbona hawasemi pia Camara ilivyo mchezea foul musonda ndani ya box,,,na vipi kuhusu foul ya hamza haikuwa red [emoji3532] card maana hamza alikuwa last defender.
Wanasema pia mazingira ya goli eti ile haikuwa foul,yaani okejepha ananyanyua daruga kumkabili musonda aliyekuwa anaucheza Mpira Kwa kichwa isiweje foul? Mpira wa wapi huu.
Kufugwa Kwa goli ni kiherehere cha camara kuufata Mpira nje ya lango na kuurudisha mchezoni,kijili analaumiwa Bure tu maana Mpira ulikuwa angle mbaya Sana yeye kuukoa.
Kwahy hitimisho ni kuwa simba chezeni michezo yenye haki bila janja janja na kubebwa kwenye mechi zenu zote kwenye ligi ndo mtajua quality yenu maana vinginevyo mkitana na mkubwa mzenu yanga mechi ambayo hamuwezi kubebwa mtabweka Sana kama mnavyofanya sasa hivi.
Ubaya ubwela.