makedonia
JF-Expert Member
- Nov 17, 2014
- 4,171
- 3,461
Washukuru MVUA.Ni mihemko tu, pale hakuna Penalty yoyote ambayo Simba alistahili sio Kila mguso ndani ya box ni penalty.
Mli zoeshwa vibaya na marefa wa bahasha, mpira ni mchezo wa ku gusana, kama penalty zingekua zikitolewa kwa namna Kibu alivyokua aki anguka basi mechi Moja ingeweza kufikisha penalty 5.
Quality ime amua mechi, ata wakirudiana Tena wiki ijayo Bado Simba watapoteza Tena inaweza kuwa kwa idadi kubwa ya ma bao.