Simba Mkataeni Ramadan Kayoko kuna siku atawaumiza pakub

Said Stuard Shily

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2017
Posts
2,396
Reaction score
2,108
Anashiriki kupoteza muda kwà kushirikiana na Timu pinzani,Anatoa kadi ovyo kwà wachezaji wa Simba,Faulo za Simba hazioni,Anawakoromea wachezaji wa Simba hata kama wanadai haki yao.Kifupi Kayoko hana hadhi ya kuchezesha ligi kuu labda ndondo cup ambako nako anaweza kuambulia kichapo amenikera saña siku ya leo what a stupid referee.
 
Me nilishasema muamuzi ni uharo mtupu,ninkweli Azam imebebwa sana na muamuzi, hata yanga ilivyobebwa dhidi ya kagera na mashujaa..ndio maana nikasema kwenye comments nyingi waamuzi wa kitanzania wanaweza kuiwezesha timu mbovu ikaibuka mshindi kwenye mechi kwasababu ya bahasha,uwrzo duni na ushabiki wa kimxvi...ndio maana hakuna hata muamuzi mmoja wa Tanzania aliyechaguliwa SECAFA ni uharoo...Yanga makombe mengi aliyobeba ligi kuu ni yawaamuzi sio ya yanga
 
Naona unaandika huku ukiwa umekalia kitu chenye ncha kali.

Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
 
Me nilishasema muamuzi ni uharo mtupu,ninkweli Azam imebebwa sana na muamuzi, hata yanga ilivyobebwa dhidi ya kagera na mashujaa..ndio maana nikasema kwenye comments nyingi waamuzi wa kitanzania wanaweza kuiwezesha timu mbovu ikaibuka mshindi kwenye mechi kwasababu ya bahasha,uwrzo duni na ushabiki wa kimxvi...ndio maana hakuna hata muamuzi mmoja wa Tanzania aliyechaguliwa SECAFA ni uharoo...Yanga makombe mengi aliyobeba ligi kuu ni yawaamuzi sio ya yanga
Simba hakuwahi kufaidika na maamuzi ya refa?
Mechi ya Yanga na Yanga, unaweza kutueleza matukio yapi yakubebwa?
Kipindi ambacho Mayele anafunga magoli anaambuwa ni offside halsfu marejeo yakionesha ni goli halali vipi ulikuja kuandika uzi wa kuwatetea Yanga?
Kipindi ambacho goli la Simba lazima itokane na penati na kadi nyekundu ulikuja kutoa neno lolote humu? Kifupi makosa ya waamuzi hakuna timu isiyonufaika nayo kati ya hizi mbili na pia hizo hizo timu zimekumbwa na kudhurumiwa haki zao kwa makosa ya waamuzi. Msijitoe akili leo hii
 
Hivi wanachomlaumu huyu refa nin? Jana nimeangalia mechi mwanzo mwisho lakini sijaona alipowaumiza
Au walitaka wapewe penat za mchongo za kina kibu na saido kujiangusha?
Ndio magoli yao wanayoyategemea siku hizi, hakuna kingine zsidi ya kulilia penati.
 
Simba hakuwahi kufaidika na maamuzi ya refa?
Mechi ya Yanga na Yanga, unaweza kutueleza matukio yapi yakubebwa?
Kipindi ambacho Mayele anafunga magoli anaambuwa ni offside halsfu marejeo yakionesha ni goli halali vipi ulikuja kuandika uzi wa kuwatetea Yanga?
Kipindi ambacho goli la Simba lazima itokane na penati na kadi nyekundu ulikuja kutoa neno lolote humu? Kifupi makosa ya waamuzi hakuna timu isiyonufaika nayo kati ya hizi mbili na pia hizo hizo timu zimekumbwa na kudhurumiwa haki zao kwa makosa ya waamuzi. Msijitoe akili leo hii
Hawajawahi kufadika,hayo uliyoeleza ni mahaba yako kwa vyura

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Me nilishasema muamuzi ni uharo mtupu,ninkweli Azam imebebwa sana na muamuzi, hata yanga ilivyobebwa dhidi ya kagera na mashujaa..ndio maana nikasema kwenye comments nyingi waamuzi wa kitanzania wanaweza kuiwezesha timu mbovu ikaibuka mshindi kwenye mechi kwasababu ya bahasha,uwrzo duni na ushabiki wa kimxvi...ndio maana hakuna hata muamuzi mmoja wa Tanzania aliyechaguliwa SECAFA ni uharoo...Yanga makombe mengi aliyobeba ligi kuu ni yawaamuzi sio ya yanga
Pumbavu kabisa wewe.
 
Mlivopigwa 5 referee alikuwa Kayoko?
Mbumbumbu mna shida gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi wanachomlaumu huyu refa nin? Jana nimeangalia mechi mwanzo mwisho lakini sijaona alipowaumiza
Au walitaka wapewe penat za mchongo za kina kibu na saido kujiangusha?
Hao wamechanganyikiwa. Ni sawa na mtu anayekaribia kufa, huwa wanatafuta sehemu ya kufia. Jana kila mtu kaona, binafsi nimeangalia ile game na nimewalaumu Azam maana jana alikuwa Anampiga mtu mkono wa Nyani tena.
Lile litimu ni libovu, huyo refa wanamtupia mzigo wa lawama na hata hao wanailalamika humu ukiwauliza kosala Refa ni Lili hawasemi.

Ahmed Ally anawapotosha sana.
 
Mbinu chafu za UTOPOLO sio kwà Marefa tu.Mlichokifanya dhidi ya Simba mnajua Yanga hamuwezi kufika popote mahali palipo na haki,mnaendesha Timu kama chama cha kikomunisti cha China.
 
Anashiriki kupoteza muda kwà kushirikiana na Timu pinzani,Anatoa kadi ovyo kwà wachezaji wa Simba,Faulo za Simba hazioni,Anawakoromea wachezaji wa Simba hata kama wanadai haki yao.Kifupi Kayoko hana hadhi ya kuchezesha ligi kuu labda ndondo cup ambako nako anaweza kuambulia kichapo amenikera saña siku ya leo what a stupid referee.
Kwaiyo mnawataka kina Tatu malogo ndiyo wawe marefa wenu? Mliwai kumfunga Azam lini? Azam ata awe unga kivipi uwezo wa kumfunga na iyo timu yenu ya unga unga mwana ni akuna, Leo hii mnajificha kwenye kichaka Cha kayoko mlidhani ni Tabora united ya bwana Rage iyo? Muwe mnaficha ujinga wenu mda mwingine, Prisons, kmc na singida na wao wangeandamana mlipobebwa kwenye mechi zao hii nchi ingekalika?
 
Anashiriki kupoteza muda kwà kushirikiana na Timu pinzani,Anatoa kadi ovyo kwà wachezaji wa Simba,Faulo za Simba hazioni,Anawakoromea wachezaji wa Simba hata kama wanadai haki yao.Kifupi Kayoko hana hadhi ya kuchezesha ligi kuu labda ndondo cup ambako nako anaweza kuambulia kichapo amenikera saña siku ya leo what a stupid referee.
Kama mnamkataa Ramadhan Kayoko, basi mumkatae pia Tatu Malogo.
 
Back
Top Bottom