rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 16,784
- 23,312
Mwingine ni Aragija Ila Simba waende mbali wahahakikishe mwenyekiti wa kamati ya waamuzi anaondolewa,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama vipi mumuombe mlezi wenu Wallace Karia amshinikize Bosi wa kamati ya waamuzi ili mechi zenu zote zichezeshwe na Tatu Malogo.Mwingine ni Aragija Ila Simba waende mbali wahahakikishe mwenyekiti wa kamati ya waamuzi anaondolewa,
Tukuamini Kwa orodha hii ya ushakunaku?Anashiriki kupoteza muda kwà kushirikiana na Timu pinzani,Anatoa kadi ovyo kwà wachezaji wa Simba,Faulo za Simba hazioni,Anawakoromea wachezaji wa Simba hata kama wanadai haki yao.Kifupi Kayoko hana hadhi ya kuchezesha ligi kuu labda ndondo cup ambako nako anaweza kuambulia kichapo amenikera saña siku ya leo what a stupid referee.
Aliyekwambia Miquison alikuwa offside Nani?Nilishangaa sn et miquisson alikuwa offside move mojawapo!
Watu wanatumia hisia sio akili.Hivi wanachomlaumu huyu refa nin? Jana nimeangalia mechi mwanzo mwisho lakini sijaona alipowaumiza
Au walitaka wapewe penat za mchongo za kina kibu na saido kujiangusha?