Simba mkitaka kua bora tena epukeni kubadili magolikipa kila baada ya msimu mmoja au mda mfupi

Simba mkitaka kua bora tena epukeni kubadili magolikipa kila baada ya msimu mmoja au mda mfupi

THE FIRST BORN

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2019
Posts
2,516
Reaction score
5,463
Hili nimeliwaza tu huu mda, waza hata na wewe!!

Hivi ushawahi kuona wapi Team kubwa na inayotawala soka katika Nchi husika inabadili ma golikipa kila baada ya msimu mmoja?

Niambie tu wapi huko?

Simba kipindi yupo form ile misimu 4 alikua na golikipa namba 1 mmoja tu Aishi..

Leo hii simba kila baada ya msimu mmoja na Nusu au mmoja tu mda mwingine wanabadili golikipa...

Unaweza usinielewe ila nenda hata Ulaya...Madrid wakat anatawala soka la ulaya alikua na golikipa tofauti kila msimu?...man city je?...Liverpool je? United nao vipi?

Arsenal saiv vipi?

Turudi afrika...Mamelodi vipi?

Ahly vipi?

Pyramid vipi?

Yanga vipi?

Simba tafuteni golikipa mmoja, sio leo huyu msimu ujao mwingine magolikipa nahisi ni watu ambao team zinajengwa kuanzia kwao...Hii sio official ni mawazo hata wewe mwenzangu waza hilo.

Badili na sajilini wachezaji wote ila golikipa namba moja aendelee kua yule yule.

Diara wakat anaongezewa mkataba huu alionao siku ya Yanga Day kuna neno au kauli Hersi aliisema kuhusu Diara nenden mkaifatilie.. alisema vipi.
 
Back
Top Bottom