Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu faulo zote uwanjani zinazohusisha mikono ni faulo za kukusudia na sio za kimpira, nimeona video na kiwiko cha Aggrey kwenda kwa Okwi hicho ni cha makusudi kabisa na hilo halina ubishi. Picha zilizoonekana za Tambwe na George nazo nyingi zimehusisha mikono hivyo ni kukusudia na kuamua kumtoa mtu mchezoni kwa njia za kipuuzi.Na kati ya hayo mawili (Tambwe na Okwi) lipi la kimpira na lipi la makusudi?