Simba mlienda Uturuki kufanya mazoezi au kutazama Sultan?

Simba mlienda Uturuki kufanya mazoezi au kutazama Sultan?

MASIGA

Senior Member
Joined
Aug 29, 2015
Posts
130
Reaction score
281
Hatimaye simba rasmi wamekiri kuwa Uturuki hawakua wakifanya mazoezi zaidi walikuwa wameenda kufuatilia tamthilia ya Sultan inayoendelea[emoji16][emoji16][emoji460][emoji460][emoji460][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji2435][emoji2435][emoji2435][emoji2435]
IMG-20180920-WA0161.jpeg
 
Tatizo la Simba vilaza wengi...kila mchezaji Yanga waliomtaka wakamchukuwa wao..walisajili bila weledi kuwakomoa Yanga...Kagere,Salamba,Mohammed,Wawa,Dilunga,Dida mpaka Feisal Toto walitaka kumpora ila dogo ana mahaba na Jangwani ....mwaka wa majanga
 
Una akili sana jirani.
 
Back
Top Bottom