Simba mmekwenda Uturuki kujifunza kuogelea au kucheza mpira?

Dr Matola PhD

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2010
Posts
60,050
Reaction score
104,466
Wonders shall never end, sasa ndugu zetu Simba si bira mngeweka kambi jangwani tu kama uwanja wenyewe mliousafiria mpaka Uturuki ndio huu?
 
Wewe hamna tofauti na wambea, sasa cha ajabu nini? Mana habri kamili ni hii.
 
Mvua kubwa yenye ukungu uliopita kiasi, radi na ngurumo za kutisha, juzi vilisitisha mazoezi ya mabingwa wa Tanzania, Simba.

Kocha Mkuu wa Simba, Patrick Aussems alilazimika kusitisha mazoezi na kuondoa kikosi chake uwanjani wakati wa mazoezi ya asubuhi kutokana na mvua hiyo kubwa.

Hali ya hewa ilianza kubadilika taratibu wakati Simba wakijifua na ukungu ukaanza kutanda ukiwashangaza wachezaji na benchi la ufundi.

Lakini ghafla, wakati mazoezi yakiendelea mvua kubwa ilianza kunyesha na kusababisha kocha huyo Mbelgiji kusitisha mazoezi.

Kocha mpya wa viungo wa Simba, Adel Zrane alishindwa kuendelea na kazi yake ikiwa ndiyo siku ya kwanza ameanza kazi.

Aussems aliwaambia wachezaji wake, mazoezi ya jana jioni wangeangalia hali ya hewa. Kama bado ingeendelea kutishia amani, basi ratiba ingebadilika na kuwa gym kwa kuwa katika eneo la Kartepe gym iko katika vyumba vilivyo chini ya ardhi yani underground.
 
Na hii habari ya kupigwa 6 imekaaje hii?
Mi baada kusikia kukanusha kwa Haji , nikasubri Clouds watasema nini, Je wataleta ushahidi au la?
Nilichokigundua kwenye mahojiano kati ya Haji na Clouds kwenye kipindi cha sport extra ni kwamba hata clouds hawakua na uhakika na walifanya kosa mana walitipoti kitu ambacho hawakua na uhakika nacho.
Nasema hivyo kwa sababu, Prisca wa Clouds alimuuliza Haji " Eti je kuna ukweli wowote kwamba mmecheza macho ya kirafiki?"
Sasa unajiuliza kama wamelipoti kua simba imefungwa 6 kwa nini anasema Eti kuna ukweli.
......
Ila nao ni binadamu inawezekana aliyesema alisema tu kwa utani si unajua utani wa simba na Yanga.
 
Niligundua wewe ni mvivu wa kutafuta ukweli wa jambo.
Tafuta ukweli kabla ujasema.
Lakini sisi ni watani sio mbaya
usibishane na shabiki wa timu isiyo hata na kiongozi mmoja, waacha wajiandae kupapatuliwa na Gor mahia jumapili
 
usibishane na shabiki wa timu isiyo hata na kiongozi mmoja, waacha wajiandae kupapatuliwa na Gor mahia jumapili
Rais wa Simba Evans Aveva na makamu wa Rais Kaburu hawa wote wapo jela kwa kesi ya kutakatisha pesa.

Wewe mshamba nadhani akili yako inakupa Mohammed Dewji ndio Rais wa Simba, jinga kabisa.
 
Povuuuuu!

Hamu ya kupanda ndege ikizidi watu wanaweza kuelekea popote, ili mradi tu wasemekane wapo nje ya nchi. Safari zahitaji uzoefu jamani.
Ni sawa na uende Vacation Marekani kipindi cha winter time, utakuwa unachekesha walionuna, that means Simba wataondoka kwenyw hotel waliofikia bila hata kuogelea kwenye swimming pool kwa sababu ya weather baridi. Ushamba ni mzigo mzito na nina wasiwasi hawa wachezaji wakibebeshwa sembe maana hii tripu haina tija kwa Simba.

Next time vyombo vya ulinzi na usalama pale Airport viwe makini na misafara ya kihuni kama hii kunakuwa na ajenda iliyojificha kwa cover ya timu.
 
Rais wa Simba Evans Aveva na makamu wa Rais Kaburu hawa wote wapo jela kwa kesi ya kutakatisha pesa.

Wewe mshamba nadhani akili yako inakupa Mohammed Dewji ndio Rais wa Simba, jinga kabisa.
sisi tuna kaimu Rais, na sekretarieti yote ipo, shughuli za kiutendaji na kiutawala zinaendelea ninyi gongowazi je?
 
Matola.... Mbona unakuwa na wivu wa kike kiasi hata unaandika usichokifaham.kwanza hata kama ingekuwa ni kuogelea nadhan ungeshangaa mabondia, wakimbia riadha na warusha tufe hili ni moja ya zoezi lao.kuogelea ni zoezi linalohusisha mwili mzima ni best zoezi kwa afya kuliko zoezi lingine lolote.so siyo dhambi kuogelea hata week nzima. Lakini kiukwel nmena videos nying za simba wakifanya mazoezi mbalimbali....

yatosha yanga kukubali kuwa jamaa wameenda kufanya mazoez yote ya kimwili na kiakili.hivyo sioni kitu kinachowauma yanga hapo ni nini.kuna kipindi yanga waliweka kambi morogoro uwanja ulikuwa mbaya sana na wachezaji walikuwa wanashindia miwa,ice cream na mihogo ya kukaanga.binafsi niliwatia moyo sana.

Kabla hatujakosoa tuwe tunashirikisha akili na utaalam hata kidogo.lakini inawezekana kabisa hata simba wakaenda uturuki kupumzika ni mipango yao wala si suala la mimi kuumia roho
 
Ndio maana siwaamini wahindi, kwanza sio watu wa football, why turkey, Manji na Dewji.
 
Ndio maana siwaamini wahindi, kwanza sio watu wa football, why turkey, Manji na Dewji.
Hizo ni destination za Sembe, ulaya yetu ipo hapo kwa madiba South Afrika, Uturuki wanafuata nini? Ipo siku siri itafichuka kama Mwintanga na mabondia wake.
 
Last edited:
Wasomali wameikacha timu yao wanasaka viroba vya unga msimbazi
 
Yeaju
Yeah just a matter of wivu tu mkuu, asamehewe tu.
 
Kuogelea ni Zoezi moja Zuri sana Kuliko Mazoezi Mengine,kwasababu inahusisha viungo vyote,Cristiano Ronaldo hupenda Sana Kulifanya hili,
Mkuu Matola Hata Kama Huipendi Simba Ungetafuta madhaifu Mengine lakini Sio LA Kuogelea...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…