Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Wonders shall never end, sasa ndugu zetu Simba si bira mngeweka kambi jangwani tu kama uwanja wenyewe mliousafiria mpaka Uturuki ndio huu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Povuuuuu!Wewe hamna tofauti na wambea, sasa cha ajabu nini? Mana habri kamili ni hii.
Niligundua wewe ni mvivu wa kutafuta ukweli wa jambo.Povuuuuu!
Hamu ya kupanda ndege ikizidi watu wanaweza kuelekea popote, ili mradi tu wasemekane wapo nje ya nchi. Safari zahitaji uzoefu jamani.
Na hii habari ya kupigwa 6 imekaaje hii?Niligundua wewe ni mvivu wa kutafuta ukweli wa jambo.
Tafuta ukweli kabla ujasema.
Lakini sisi ni watani sio mbaya
Mi baada kusikia kukanusha kwa Haji , nikasubri Clouds watasema nini, Je wataleta ushahidi au la?Na hii habari ya kupigwa 6 imekaaje hii?
usibishane na shabiki wa timu isiyo hata na kiongozi mmoja, waacha wajiandae kupapatuliwa na Gor mahia jumapiliNiligundua wewe ni mvivu wa kutafuta ukweli wa jambo.
Tafuta ukweli kabla ujasema.
Lakini sisi ni watani sio mbaya
Rais wa Simba Evans Aveva na makamu wa Rais Kaburu hawa wote wapo jela kwa kesi ya kutakatisha pesa.usibishane na shabiki wa timu isiyo hata na kiongozi mmoja, waacha wajiandae kupapatuliwa na Gor mahia jumapili
Ni sawa na uende Vacation Marekani kipindi cha winter time, utakuwa unachekesha walionuna, that means Simba wataondoka kwenyw hotel waliofikia bila hata kuogelea kwenye swimming pool kwa sababu ya weather baridi. Ushamba ni mzigo mzito na nina wasiwasi hawa wachezaji wakibebeshwa sembe maana hii tripu haina tija kwa Simba.Povuuuuu!
Hamu ya kupanda ndege ikizidi watu wanaweza kuelekea popote, ili mradi tu wasemekane wapo nje ya nchi. Safari zahitaji uzoefu jamani.
sisi tuna kaimu Rais, na sekretarieti yote ipo, shughuli za kiutendaji na kiutawala zinaendelea ninyi gongowazi je?Rais wa Simba Evans Aveva na makamu wa Rais Kaburu hawa wote wapo jela kwa kesi ya kutakatisha pesa.
Wewe mshamba nadhani akili yako inakupa Mohammed Dewji ndio Rais wa Simba, jinga kabisa.
Ndio maana siwaamini wahindi, kwanza sio watu wa football, why turkey, Manji na Dewji.Ni sawa na uende Vacation Marekani kipindi cha winter time, utakuwa unachekesha walionuna, that means Simba wataondoka kwenyw hotel waliofikia bila hata kuogelea kwenye swimming pool kwa sababu ya weather baridi. Ushamba ni mzigo mzito na nina wasiwasi hawa wachezaji wakibebeshwa sembe maana hii tripu haina tija kwa Simba.
Next time vyombo vya ulinzi na usalama pale Airport viwe makini na misafara ya kihuni kama hii kunakuwa na ajenda iliyojificha kwa cover ya timu.
Hizo ni destination za Sembe, ulaya yetu ipo hapo kwa madiba South Afrika, Uturuki wanafuata nini? Ipo siku siri itafichuka kama Mwintanga na mabondia wake.Ndio maana siwaamini wahindi, kwanza sio watu wa football, why turkey, Manji na Dewji.
aiseee !!Hizo ni destination za Sembe, ulaya yetu ipo hapo kwa masiba South Afrika, Uturuki wanafuata nini? Ipo siku siri itafichuka lama Mwintanga na mabondia wake.
Yeah just a matter of wivu tu mkuu, asamehewe tu.Matola.... Mbona unakuwa na wivu wa kike kiasi hata unaandika usichokifaham.kwanza hata kama ingekuwa ni kuogelea nadhan ungeshangaa mabondia, wakimbia riadha na warusha tufe hili ni moja ya zoezi lao.kuogelea ni zoezi linalohusisha mwili mzima ni best zoezi kwa afya kuliko zoezi lingine lolote.so siyo dhambi kuogelea hata week nzima. Lakini kiukwel nmena videos nying za simba wakifanya mazoezi mbalimbali....
yatosha yanga kukubali kuwa jamaa wameenda kufanya mazoez yote ya kimwili na kiakili.hivyo sioni kitu kinachowauma yanga hapo ni nini.kuna kipindi yanga waliweka kambi morogoro uwanja ulikuwa mbaya sana na wachezaji walikuwa wanashindia miwa,ice cream na mihogo ya kukaanga.binafsi niliwatia moyo sana.
Kabla hatujakosoa tuwe tunashirikisha akili na utaalam hata kidogo.lakini inawezekana kabisa hata simba wakaenda uturuki kupumzika ni mipango yao wala si suala la mimi kuumia roho