Hili kwa mfano limetokea mara nyingi tu, na litaendelea kutokeatangu umeanza kumjua Julio au kumsikia ni vitu vingapi ameviongelea vikatokea.julio mbali ya kucheza mpira na kuwa kocha ni kama mshabiki yoyote anayeongelea mpira sanasana anajipigia debe ili msimbazi wamrudishe afundishe
"ZILIPENDWA"Nanukuu...
"Ni mapema sana kusema watachukua ubingwa wakati ndiyo mechi ya kwanza, Simba wamekuwa wakianza vizuri hivihivi kwa misimu tofauti lakini katikati ya msimu kasi yao imekuwa ikipungua kila msimu na kupoteza ubingwa wa ligi "
Mwisho wa kunukuu.
Nanukuu...

Sababu hasa?
Nadhani Julio ana hoja ya msingi. Ni mapema mno kusema lolote kwa sasa. kwani mechi nne mlizompa Omog tayari?
Mabingwa watarajiwa wapo wanne mwaka huu. Perennial Champions Yanga na wengine watatu to be definedNaheshimu Mawazo yake. Mkuu ila kabla hujatafakari hoja yake, Jiulize Julio ana cheo gani ndani ya washindi wa Ngao ya Hisani 2017-18, Mabingwa watarijiwa wa VPL, FA Cup na Mapinduzi Cup wa 2017-18 Simba SC? Nyie endeleeni kumsapoti tu, Sisi tunaendelea kugawa dozi nzito nzito msimu huu. Alafu Mkuu nasikia zile 7 ilikua ni dozi yenu?