Simba mmetia aibu Mbeya jana

Simba mmetia aibu Mbeya jana

Ududu

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2013
Posts
1,020
Reaction score
556
Sasa ile hirizi aliyokutwa nayo yule mchezaji wenu wa kigeni ndio mlitegemea kuepuka na kipigo?? Muwe mnaingia na hirizi ndogo za kishkaji ile kubwa sana aisee!!!
 
Attachments

  • TMPDOODLE1445519231510.jpg
    TMPDOODLE1445519231510.jpg
    23.5 KB · Views: 1,015
Simba huwa wanatufunga kwa sababu hizi
 
Nimependa na kufurahi sana jana simba kupokea kichapo muambieni simba yanga ndio kasepa hivyo kama kivuli
 
Kwa imani zetu hizi kucheza mpira kwa nguvu za Booster tutaendelea kuwa wasindikizaji daima.
 
simba bhana. sasa ni mchezaji wa kigeni
 
Sasa ile hirizi aliyokutwa nayo yule mchezaji wenu wa kigeni ndio mlitegemea kuepuka na kipigo?? Muwe mnaingia na hirizi ndogo za kishkaji ile kubwa sana aisee!!!

Hiyo inaitwa power bank
 
Pole Chumba aaaa samahani pole simba
 
Au hiyo ilimwondoa Serrunkuma? Pengine alikataa kuvaa!
 
Ha ha haaa karne hii bado wanatumia ndagu duuu
 
Back
Top Bottom