Bill Lugano
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 1,189
- 6,450
mhhh haya tunasubiri tuoneIli jiji litulie na sisi yanga tuwe na amani na mwendelezo wa kipigo kwa wapinzani wetu nkana wameingia hapa jana na sasa wanakutanishwa na mzee wetu mutu ya kongo.
Mlidhani kwa kumtambua yule wa morogoro mtatuweza. Tuna mzee wetu ambaye pamoja tumedhamiria kuwaonesha kabumbu linachezwaje.
Endeleeni kujitapa na kandanda leo na wachezaji wenu. Sisi tutawaonesha sasa kuwa mpira si pesa wala si wachezaji wazuri.
Mnapigwa hapa hapa kwenu. Tunaungana na nkana rasmi kwa kuwapa kila support ili mpate kichapo heavy nyau nyie.
Na safari hii kwenye ligi mkijitahidi ni nafasi ya tatu.
Kwahiyo kwa mara ya kwanza mnaenda kuvaa uzi mwekundu au mweupe,ambazo ni rangi za Nkana FC?Ama kweli zama zimebadilika.
Naunga mkono hojaIli jiji litulie na sisi yanga tuwe na amani na mwendelezo wa kipigo kwa wapinzani wetu nkana wameingia hapa jana na sasa wanakutanishwa na mzee wetu mutu ya kongo.
Mlidhani kwa kumtambua yule wa morogoro mtatuweza. Tuna mzee wetu ambaye pamoja tumedhamiria kuwaonesha kabumbu linachezwaje.
Endeleeni kujitapa na kandanda leo na wachezaji wenu. Sisi tutawaonesha sasa kuwa mpira si pesa wala si wachezaji wazuri.
Mnapigwa hapa hapa kwenu. Tunaungana na nkana rasmi kwa kuwapa kila support ili mpate kichapo heavy nyau nyie.
Na safari hii kwenye ligi mkijitahidi ni nafasi ya tatu.
Nkana watapigwa tu usiwe na wasiwasiWapigwe tu.
Vice versa is true pia Sapta.Nkana watapigwa tu usiwe na wasiwasi
Kwani wewe unataka nani ashinde kati ya Mnyama na Shetani?Vice versa is true pia Sapta.
Ila sio rahisi japo jana nilimsikia yule mzee wenu wa mipasho anasema eti "kagoli kamoja" kama ni rahisi vile.Nkana watapigwa tu usiwe na wasiwasi
Ashinde tu huyo Shetani Sapta kwani sh ngapi. ππππππ πππKwani wewe unataka nani ashinde kati ya Mnyama na Shetani?
Pamoja na kwamba siyo rahisi lakini naamini Simba wanaweza kupata ushindi na kusonga mbeleIla sio rahisi japo jana nilimsikia yule mzee wenu wa mipasho anasema eti "kagoli kamoja" kama ni rahisi vile.
Daaah sawa acha tusubiri hiyo jumapiliAshinde tu huyo Shetani Sapta kwani sh ngapi. ππππππ πππ
Hapa nakuunga mkono Mtani japo msiende na matokeo mfukoni kama kawaida yenu.Pamoja na kwamba siyo rahisi lakini naamini Simba wanaweza kupata ushindi na kusonga mbele
Kikubwa tuombe uzima Sapta.Daaah sawa acha tusubiri hiyo jumapili