Bill Lugano
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 1,189
- 6,450
Ili jiji litulie na sisi yanga tuwe na amani na mwendelezo wa kipigo kwa wapinzani wetu nkana wameingia hapa jana na sasa wanakutanishwa na mzee wetu mutu ya kongo.
Mlidhani kwa kumtambua yule wa morogoro mtatuweza. Tuna mzee wetu ambaye pamoja tumedhamiria kuwaonesha kabumbu linachezwaje.
Endeleeni kujitapa na kandanda leo na wachezaji wenu. Sisi tutawaonesha sasa kuwa mpira si pesa wala si wachezaji wazuri.
Mnapigwa hapa hapa kwenu. Tunaungana na nkana rasmi kwa kuwapa kila support ili mpate kichapo heavy nyau nyie.
Na safari hii kwenye ligi mkijitahidi ni nafasi ya tatu.