Simba mnalala kwa Nkana. Tunawapeleka kwa Babu yetu toka Congo hamtoki

Babu wa congo aliwapa masharti gani? Mliyatii kweli, maana nimewaona pale taifa mkiwa mmejilundika mithili ya ombaomba lakini baada ya mechi sijui mlitokea mlango upi...!?
 
Ha
Hahahaaa mtani kwani imekugusa. Pole ndo hivo mshaliwa vitatu.
 
Reactions: Tui


Tuletee matokeo baada ya mechi la sivyo tutakuona ni mpotoshaji tu kama Mze wenu Akilimali au Zitto Kabwe.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] wamevamia party ya wahuni [emoji23][emoji23]๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ vyura Bhana haya Semeni chamaaa triple c
 
1 USD= 2300
550000 USD ร— 2300 = 1265000000
Injiniaaa soma hyoooo
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]kaweka mshipa juu anapunga hewaaa[emoji6][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji6]babuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] fala kweli wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ