Simba mnalala kwa Nkana. Tunawapeleka kwa Babu yetu toka Congo hamtoki

Simba mnalala kwa Nkana. Tunawapeleka kwa Babu yetu toka Congo hamtoki

Ili jiji litulie na sisi yanga tuwe na amani na mwendelezo wa kipigo kwa wapinzani wetu nkana wameingia hapa jana na sasa wanakutanishwa na mzee wetu mutu ya kongo.

Mlidhani kwa kumtambua yule wa morogoro mtatuweza. Tuna mzee wetu ambaye pamoja tumedhamiria kuwaonesha kabumbu linachezwaje.

Endeleeni kujitapa na kandanda leo na wachezaji wenu. Sisi tutawaonesha sasa kuwa mpira si pesa wala si wachezaji wazuri.

Mnapigwa hapa hapa kwenu. Tunaungana na nkana rasmi kwa kuwapa kila support ili mpate kichapo heavy nyau nyie.

Na safari hii kwenye ligi mkijitahidi ni nafasi ya tatu.
Babu wa congo aliwapa masharti gani? Mliyatii kweli, maana nimewaona pale taifa mkiwa mmejilundika mithili ya ombaomba lakini baada ya mechi sijui mlitokea mlango upi...!?
 
Ha
Mtani ina maana hukulelewa na wazazi kabisa? Hata walezi pia hukufanikiwa kupata mpaka ukulie mtaani na kujifunza matusi tu? Pole ndo malimwengu.

Mpira ni furaha na amani. Ni upendo simba na yanga ni watani wa jadi. Nyie ambao mlikosa malezi mema nashangaa pia mpo simba na yanga
Hahahaaa mtani kwani imekugusa. Pole ndo hivo mshaliwa vitatu.
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Ili jiji litulie na sisi yanga tuwe na amani na mwendelezo wa kipigo kwa wapinzani wetu nkana wameingia hapa jana na sasa wanakutanishwa na mzee wetu mutu ya kongo.

Mlidhani kwa kumtambua yule wa morogoro mtatuweza. Tuna mzee wetu ambaye pamoja tumedhamiria kuwaonesha kabumbu linachezwaje.

Endeleeni kujitapa na kandanda leo na wachezaji wenu. Sisi tutawaonesha sasa kuwa mpira si pesa wala si wachezaji wazuri.

Mnapigwa hapa hapa kwenu. Tunaungana na nkana rasmi kwa kuwapa kila support ili mpate kichapo heavy nyau nyie.

Na safari hii kwenye ligi mkijitahidi ni nafasi ya tatu.

Tuletee matokeo baada ya mechi la sivyo tutakuona ni mpotoshaji tu kama Mze wenu Akilimali au Zitto Kabwe.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] wamevamia party ya wahuni [emoji23][emoji23]🤣🤣 vyura Bhana haya Semeni chamaaa triple c
 
1545594802886.png
 
  • Thanks
Reactions: Tui
1 USD= 2300
550000 USD × 2300 = 1265000000
Injiniaaa soma hyoooo
IMG_20181223_224551_316.JPG
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]kaweka mshipa juu anapunga hewaaa[emoji6][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji6]babuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] fala kweli wewe
 
Back
Top Bottom