DungaMawe
JF-Expert Member
- Jul 31, 2022
- 1,522
- 4,630
Lakini hayo ni maneno ya aliyelua mwenyekiti wenuSio wote tuombe radhi, ila kuna Wachache wanaosumbua wengine..tupo wenye akili na kujua maana ya kushindana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lakini hayo ni maneno ya aliyelua mwenyekiti wenuSio wote tuombe radhi, ila kuna Wachache wanaosumbua wengine..tupo wenye akili na kujua maana ya kushindana.
Mimi nawalaumu wachezaji wote isipokuwa Kibu D tu ndio maana alipotoka tu,Yanga wakawa hawana hofu tena. Magoli manne yakazaliwa hapo!Labda kila Mtyu ana namna yake ya kutathmini mechi. Ila kwangu naona tulizidiwa mbinu tu na mechi ikawa mzigo mzito kwa Wachezaji, tutawalaumu Wachezaji bure bila ya sababu.
Aina ya mpira wanaocheza Yanga saivi sio sawa na mpira waliokuwa wanacheza Yanga kipindi cha Nabi. Ukiangalia magoli karibia yote waliyofunga Yanga imetoka na pressing ya haraka. Wakati Simba wanaenda kushambulia wachezaji wanafanya pressing na kuuchukua mpira kisha wanaenda kushambulia kwa spidiAina ya wachezaji wa Yanga kuwaacha wachezee mpira vile unachokitafuta lazima ukipate. Unawakabia macho akina Pacome unategemea nini?. Mbona kwenye mechi ya Simba 2-0 Yanga,Simba walikaba wapita njia wote hadi vichochoro vyote. Manula akawa anasoma gazeti tu. Walishindwa vipi kufanya hivyo tena?.
Kwenye ile mechi Simba walikuwa wanarudi fasta sana wakipoteza mpira ila jumapili ya mkono watu kama wababu bwana. Hata hivyo una hoja nitalitazama hili[emoji3]Aina ya mpira wanaocheza Yanga saivi sio sawa na mpira waliokuwa wanacheza Yanga kipindi cha Nabi. Ukiangalia magoli karibia yote waliyofunga Yanga imetoka na pressing ya haraka. Wakati Simba wanaenda kushambulia wachezaji wanafanya pressing na kuuchukua mpira kisha wanaenda kushambulia kwa spidi
Kipindi cha kwanza simba ilicheza kwa adabu na heshima, kipindi cha pili Baleke alipokosa goli ikagonga mwamba mkaona mfunguke kuwa inaimudu hapo Tabuleeee ndipo ilianza, zilipigwa counter attack zote zikawa goli.Inategemea. Kupigwa 5 kunakotokana na kukabia macho huo ni uzembe mkuu. Wachezaji wote wakijitoa kwa moyo kama anavyofanya Kibu D hata wakipigwa 10 ni Sawa Tu.
Mzize alikuwa anafukuzana na father zimbwe unategemea nini!Kwenye ile mechi Simba walikuwa wanarudi fasta sana wakipoteza mpira ila jumapili ya mkono watu kama wababu bwana. Hata hivyo una hoja nitalitazama hili[emoji3]
Tena adabu haswaaa. Yanga wakiamua Kwa dhati hata kimataifa watafika mbali.Kipindi cha kwanza simba ilicheza kwa adabu na heshima, kipindi cha pili Balele alipokosa goli ikagonga mwamba mkaona mfunguke kuwa inaimudu hapo Tabuleeee ndipo ilianza, zilipigwa counter attack zote zikawa goli.
Mkikuttana na Yanga wawe na adabu
Zimbwe si nasikia ana 27 au Cheti feki?Mzize alikuwa anafukuzana na father zimbwe unategemea nini!
Na kama ile ya Baleke ingekuwa Goli stori ingekuwa tofauti...sidhani kama ingefikia kuwa mbaya vile.Kipindi cha kwanza simba ilicheza kwa adabu na heshima, kipindi cha pili Baleke alipokosa goli ikagonga mwamba mkaona mfunguke kuwa inaimudu hapo Tabuleeee ndipo ilianza, zilipigwa counter attack zote zikawa goli.
Mkikuttana na Yanga wawe na adabu
Simba hakuna uongozi wenye ufanisi!! Viongozi Simba ni matapeli!!Na sasa wapo wanasheherekea huko, hii yote kuwatia hasira mzidi kuvurugana...msikubali.
Mimi kama Mwananchi hili nakataa. Sisi always tupo kuwaonyesha makolo kwamba ni wadogo zetu sema wana kiburi ila hatujawahi kuwatakia lolote baya ndo maana ukifuatilia historia mwaka 1988 tulilazimika kujifunga tukakosa ubingwa ili makolo wasishuke daraja. Tunawapenda wanapoikubali nafasi yao kama wadogo zetu ila shida wana kiburifuraha ya Yanga ni Simba kupoteza, na tusisahau kwamba si kupoteza uwanjani tu, bali pia hata ikiwezekana kuipoteza timu.
Yanga Wana uungwana sanaMimi kama Mwananchi hili nakataa. Sisi always tupo kuwaonyesha makolo kwamba ni wadogo zetu sema wana kiburi ila hatujawahi kuwatakia lolote baya ndo maana ukifuatilia historia mwaka 1988 tulilazimika kujifunga tukakosa ubingwa ili makolo wasishuke daraja. Tunawapenda wanapoikubali nafasi yao kama wadogo zetu ila shida wana kiburi