Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio kufuga njiwa tu, ndio ujue bei ya mtama. Je ukiwa mkaanga mabisi ?Tatizo sio Omog, tatizo Manara na tambo za kuwafurahisha mashabiki...
Sioni usajili unaopongezwa Simba.. Wahenga wasio na msaada wowote na majina ya zamani....... Wanapochelewa Simba ni kumuwazia Yanga siku zote na akili yao imegota hapo, ndio maana wanawaza kuifunga Yanga, na Yanga wanawaza kuchukua ubingwa.. Hiyo ndio tofauti kubwa.... Na mwaka huu Yanga ni bingwa mara 4 mfululizo... Subir utaona!
"Ukifuga njiwa utajua bei ya mtama"
Msimu uliopita ndg co msimu huu tajaaaaaa ukimaliza taja kabisa na kwenu tulinganishe!Tukianaza kutaja wazee mbona utakimbia hakuna timu lenye wazee kama yanga!!kama ukibisha sema tuorodheshe!
Mwanjali,Nduda,Okwi,Niyonzima,Bocco,Kapombe,Mkude,Mbonde,Nyoni,Mavugo to be continue1. Tambwe
2. Kamusoko
3. Yondani
4. Nadir
5. Ngoma
6. Yule jamaa wa rwanda na origin ya kongo
mtaendelea kuwa wasindikizaji tuUkitaka kujua ukali Wa jeshi na umadhubuti Wa makombora Ngoja vita ianze
Sasa ukitaka kuijua Simba Ngoja ligi ianze
Sent using Jamii Forums mobile app
wache watufunge tu ila ubingwa hawapati...hawa jamaa ni arsenal ya tanzaniaSimba wanasajiri kuifunga yanga.... wakati yanga wanasajiri kuchukua ubingwa