THE FIRST BORN
JF-Expert Member
- Apr 24, 2019
- 2,224
- 4,472
Habari Hongera na weekend!
Nianze hivi kilichomkuta Kaizer sio kusema kanunuliwa sio kusema sijui ana udhamini wa GSM ni kapigwa Mpira unaitwa Kosa Kujisahau tu.
Kwa wasiojua Kaizer Alienda Pre season nje ya Sauzi na tangu atangazwe NABI alikua hajapoteza huko Pre-Season yani ilikua full dozi ila sasa kumbe nae Pre Season alikua anacheza na wale wa Ligi ya Mbuzi so akawa anajipima nao daily anawaweka, Leo kakutana na Yanga wamebaki kuulizana tu ndio mlikua mnasema mpo tayar na Ligi na kua NABI kajipata kumbe bado hivi?
Sa ndio kitu Simba Mnafanya huko mnacheza na Team za Ligi daraja la 3 mkija tarehe 8 mkachezea 5 zingine Msitufukuzie Mangungu wetu.
#Usiku Mwema