Simba mnaweza Kujifunza kwa Kilichomkuta Kaizer Chiefs Leo, ila kwakua nyie ni sikio la kufa subirini tarehe 8

Simba mnaweza Kujifunza kwa Kilichomkuta Kaizer Chiefs Leo, ila kwakua nyie ni sikio la kufa subirini tarehe 8

Kwamba Kaizer ni sawa na Telcom? Yan kocha NABI halaf unataka uilinganishe na Telecom jamaa watoto wako wakiona hiki unachokileta humu watajiuliza kama mzazi wao una akili Timamu kweli?
Yule aloyekuwa coach wa Simba kwa sasa anafundisha team moja hapa Tz unamfahamu? Hata Mlandege ikiwa na mkwanja inamwajiri Nabi au sijui nani mwingine. Msimamo wa league huo umeona Kaizer Chiefs ilikuwa ya ngapi? Bado tuendelee kujipanga. Hao telecom nao ni team za kufanyia mazoezi
 
Mpira hauko hivyo. Kajifunze tena. Hata Ihefu ilipowafunga Yanga haikuwa bora. Nyie ndo ambao huwa mnazima uwanjani. Mpira una matokeo 4. 1.Kushinda. 2.Kufungwa. 3. Kusuluhu 4. Inatokana na anayetangaza kura............. VAR controller. Ref. Mamelod v/s Yanga
Kwa Yanga ya saiv hii usije kwenda una sema hizo kauli ukitarajia zitakubeba bila kua na team bora Mkuu..Yanga ya Misimu hii 3 inaenda huu wa 4 imetengeneza team ambayo kuliona lango lao ni lazima uwe na Team iliyo complete huo ndio ukweli.

Ni sawa useme ety unacheza na Man city unasema mpira una matokeo ma 4 so lolote linaweza tokea hata na Team lako bovu utamfunga sawa hatukatai ila andaa Team haswahaswa sio kubaki na imani za kichawi kama hizo.
 
Habari Hongera na weekend!

Nianze hivi kilichomkuta Kaizer sio kusema kanunuliwa sio kusema sijui ana udhamini wa GSM ni kapigwa Mpira unaitwa Kosa Kujisahau tu.

Kwa wasiojua Kaizer Alienda Pre season nje ya Sauzi na tangu atangazwe NABI alikua hajapoteza huko Pre-Season yani ilikua full dozi ila sasa kumbe nae Pre Season alikua anacheza na wale wa Ligi ya Mbuzi so akawa anajipima nao daily anawaweka, Leo kakutana na Yanga wamebaki kuulizana tu ndio mlikua mnasema mpo tayar na Ligi na kua NABI kajipata kumbe bado hivi?

Sa ndio kitu Simba Mnafanya huko mnacheza na Team za Ligi daraja la 3 mkija tarehe 8 mkachezea 5 zingine Msitufukuzie Mangungu wetu.

#Usiku Mwema
Una hoja muhimu sana lakini je, hawa wavaa sanda watakuelewaa????
 
Kwenye ligi hao Kaizer wapo nafasi ya ngapi?
 
Back
Top Bottom