Simba mngesajili Left Back M. Husein ameshuka kiwango

Kuna mechi siikumbuki Onyango alishecheza beki mbili Tena alicheza vizuri na cross akawa anapiga kuhusu Shabalala kosa la kwanza anapokuwa uwanjani anawaza kushambulia pia anapenda kukaa na mpira muda mrefu ni kama anapunguza Kasi ya timu, anapenda kutoa pasi za uchonganishi na akikutana na winga mwenye Kasi mi tatizo ingawa na mara nyingi anasababisha ukuta wa Kasi uvunjike kwani madhaifu yake yanawafanya mabeki wa kati watoke sehemu yao na kwenda kumsaidia Huku wakiacha eneo lao wazi
Kama unaona Tdhabalala anasababisha ukuta uvunjike basi ujue mmoja kati ya kiungo mkabaji au winga wa kushoto anashindwa kuziba nafasi iliyoachwa wazi na Tshabalala.
Ni kweli analo tatizo la kuhold mpira muda mrefu hivyo kupooza mashambulizi.
Kuhusu pasi nakupinga. Naamini Tshabalala ni mcheza anayetoa pasi nzuri sana kwenye nafasi ila inatokea muhusika akawa hayupo makini.
 
Umeelezea vizuri kuliko mimi. Wote tuna matumaini hayo mapungufu yatapungua au kuisha kabisa kwa sababu ni mchezaji mzuri mwenye kujituma na ana ari ya ushindi.
 
Kama unaona Tdhabalala anasababisha ukuta uvunjike basi ujue mmoja kati ya kiungo mkabaji au winga wa kushoto anashindwa kuziba nafasi iliyoachwa wazi na Tshabalala.
Ni kweli analo tatizo la kuhold mpira muda mrefu hivyo kupooza mashambulizi.
Kuhusu pasi nakupinga. Naamini Tshabalala ni mcheza anayetoa pasi nzuri sana kwenye nafasi ila inatokea muhusika akawa hayupo makini.
Ni wazi una interest binafsi na huyu mchezaji.
 
Tshabalala hajashuka kiwango, anafanya mistakes kadhaa yes ila kushuka kiwango no sio kweli.
Still sijaona Namba tatu kama yeye sio bongo tu hata kwa Nchi zenye hadhi kama yetu ( ukiwaondoa waarabu na baadhi ya team south).
Control- Utakubaliana na mimi ndio mchezaji mwenye ball control kubwa bongo hii.
Attack and defending ratio, Uwiano wake wa kushambulia na kuzuia ni mzuri mno. Team inapobidi kuzuia atazuia, akihitajika kudrive team kushambulia atafanya hivyo.

Experience, Huwezi kupata mchezaji mwenye experience kama yake chini ya Billions of money ( Bongo hayupo )

Ni vile tumemzoea tunaona kawaida tu.
 
Back
Top Bottom